Belucci anaonekana anashind sasa sababu Djonkovich hawezi kurudisha mipira yake. Federrer anaumwa alifanyiwa upasuaji wa goti. Kumbuka Tennis single kucheza when you are 34 ni bahati na Fedderer anajitahidi. He will be back no. 2 next week baada ya Murray kushindwa kutetea taji lake la adridi.