Makapuku Forum

Mpk hapo jibu mubashara..
Yupo bize na totoz baada ya kubebewa korosho na gari za wale wazee[emoji4]
Huyo ndo anko binamu mtoto wa dada Obe jana ilikuwa zamu ya cheusi ila mambo yakaingiliana akaijikutaa yupo kwa kimodoo wake mm alinidipuuu usiku sana nimtumie buku 4 za bodabodaa...wkend yake ilikuwa nzuriiii

Korosho na hapo hajauzaa akiuzaa atakununuliaa furu sana
 
[emoji30] [emoji30] [emoji30]..ndio maana akasema niende kwa nauli yangu atanipa ya kurudia Shunie hatimae Anko wake amenipa faraja [emoji18] [emoji18]
 
Hapo kweliii kwakoo kafa kaozaaa anko ...binamu wangu mtoto wa dada akupee nauliii kweliiii Obe umependaa kweli
[emoji30] [emoji30] [emoji30]..ndio maana akasema niende kwa nauli yangu atanipa ya kurudia Shunie hatimae Anko wake amenipa faraja [emoji18] [emoji18]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…