Shunie tafadhari bana, mbebez tena sema kaka na dadamambo ya jf yanafurahisha sana baba wawili tulikuwa tunamuongelea mbebez wake wa zamani wa jf dingimtoto
Hapa napata ukakasi mwingiUranus na Neptune ndiyo sayari pekee kwenye mfumo wetu wa Jua ambazo kunanyesha mvua ya dhahabu, yaani kama ilivyo mvua ya maji hapa Duniani basi kwenye sayari hizo mvua ya dhahabu huwa inanyesha kutokana na kiasi kikubwa cha carbon. View attachment 926113
Mtukufu m7Mwanaharakati wa haki za wanawake nchini Uganda Stella Nyanzi amefikishwa mahakamani kwa kumtusi rais Yoweri Museveni wa Uganda.
Nyanzi ambaye alikamatwa mwishoni mwa juma lililopita ameshtakiwa kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii pamoja na kusambaza maandishi yaliyolenga kushusha hadhi ya rais Museveni pamoja na mamake.View attachment 926127
Tuliambiwa tufyatue tuu elimu bureKatika jamii ya Pokot upangaji uzazi kwa watoto umekuwa ukifanywa tangu jadi.
Jamii hii 'humfunga' mtoto wa kike kupitia tambiko ili kumzuia kupata mimba punde tu msichana anapoanza kupata hedhi.
Licha ya Kenya kupiga hatua kubwa kuimarisha afya ya mama na mtoto jamii hii imedumisha mbinu hii ya kitamaduni.
Nimeipenda kwakweli vizuri sanaView attachment 926143
Inabidi kaka Jupiter alidake hilo gari lisituharibie shughuli huko mbeleniUnalikumbuka gari lililorushwa na Elon Musk nje ya Dunia. Kwa sasa gari hilo pamoja na mdoli aliyekuwa ndani tayari limeshafika kwenye sayari ya Mars.
Watafiti wanasema kunauwezekano wa asilimia 6 gari hilo kuja kudondokea Duniani ndani ya miaka milioni 1 ijayo au linaweza likadondokea kwenye sayari ya Venus. View attachment 926120
Zinatosha sn hizo dk8 kukulana kwa mara ya mwishoMwanga wa Jua huwa unatumia dakika nane mpaka kufika Duniani. Hii inamaana kama Jua likilipuka sasa hivi basi tutakuwa na dakika nane tu za kuaganaView attachment 926116