...ngoja nikae kiti cha mbele kabisa, hili somo zuri na tunakoelekea utatufundisha na mastyle maana mama yenu anataka style za kikiristo tu. Asante
Karibia nakuja znzNa kwako pia mkuu saiv navuka hapa naelekea Z'bar.
Nakusalimia sn [emoji113]habari ya J2,?[emoji41][emoji6]
Ushindweeeee hizi shikamoo zenu zitanikimbiza humu[emoji22] [emoji134] shikamoni wote
Anziaa anko aliposema etiii leo umeshindaaa hujaendaa kanisani mwendoo wa kuchoshana etiiiSijui nianzie wapiii jamani
Ruhusa ninayo mimi
Acha tu niwe msaliti[emoji38][emoji38]usaliti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya majina yana kitu[emoji4] [emoji4] gubu mama nyama zinagoma kbs
Mama kuna baby mtu mzima hawezidhurika[emoji85]
Milele Amina hivi upoTumsifu Yesu Kristo ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo hayo akina shangazi shunie huwa wanaita kutekwa mkuu?[emoji4][emoji4][emoji4]
Merci boucou,bienvenue ,ushaenda kusali ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] hcho kinini mtu chake me najua kinyakyusa tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo cjaenda ndgu yngu
...mida ya soka hii anko, wapi unaangalizia au uko safarini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu kutumia manukato kiasi fulani kwani aina nyingine hudumu muda mrefu na unapojipulizia manukato ona unafanya hivyo kwa faida yako na sio kuhakikisha kuwa kila mtu anajua umetumia manukato ya aina fulani hapo ndiyo huleta shida kidogo kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha manukato na hivyo kuleta shida kwa wengine.
Pia unashauriwa kutotumia manukato ili kuondoa harufu ya mwili kutokana na kutooga au kutokana na sababu nyingine hapo maana ya manukato hupotea. Manukato hupendeza iwapo yatapuliziwa wakati mwili na nguo zikiwa safi. Tumia aina ya manukato uipendayo ili kuweza kukuweka mrembo zaidi.
Hahahaha, nipo binti, hujanitafuta tuMilele Amina hivi upo
Nilipoo hapa nmebahatishaa selfu yaaan mpiraaa naangalia kwa jicho mojaaa
Khaaaaa.....umeenda kusali kweli wewe[emoji56]! Kama umeenda hebu rusha fasta namba yako ya simu nikuombe unielezee mafundisho
Ilikua inahitajika km tuu ningekua nimewahi misa leo,lkn kwa vile sikwenda bc haihitajiki tena Binam[emoji41][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi umempa namba binamu Obe? au unajifanya hujackia ombi lake[emoji23] [emoji23] [emoji23]