Savage Dad JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 1,388 Reaction score 2,611 Nov 3, 2018 #341,981 Shunie said: Eiiish kumbe anapika birian kila ijumaa face book take away kinondoni we ni wapi jamani Click to expand... Mim ni wa Z'bar currently niko kigamboni.
Shunie said: Eiiish kumbe anapika birian kila ijumaa face book take away kinondoni we ni wapi jamani Click to expand... Mim ni wa Z'bar currently niko kigamboni.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,063 Nov 3, 2018 #341,982 AmorEy said: Mim ni wa Z'bar currently niko kigamboni. Click to expand... Ooh sawa mkuu wangu
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,287 Reaction score 35,678 Nov 3, 2018 #341,983 AmorEy said: Mim ni wa Z'bar currently niko kigamboni. Click to expand... Kigamboni gani
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,287 Reaction score 35,678 Nov 3, 2018 #341,984 Behaviourist said: Shangazi namjua sana huyu yaani mida ambayo watu ndiyo wanasinzia ndiyo mida yake ya kuibuka!! Click to expand... Wikend huwa Nina mambo ya kimwili zaidi, nitarudi tena niuilize kama Kuna Jipya
Behaviourist said: Shangazi namjua sana huyu yaani mida ambayo watu ndiyo wanasinzia ndiyo mida yake ya kuibuka!! Click to expand... Wikend huwa Nina mambo ya kimwili zaidi, nitarudi tena niuilize kama Kuna Jipya
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,287 Reaction score 35,678 Nov 3, 2018 #341,985 Nimeona fitna za anko Lyon Lee akinifitinisha na marybaby , yaani hata namba nashindwa kuomba sasa
Savage Dad JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 1,388 Reaction score 2,611 Nov 4, 2018 #341,986 Obe said: Kigamboni gani Click to expand... Ukivuka barabara ya sokoni upande wa pili kma unakuja kweny bnda la kuonesha games.
Obe said: Kigamboni gani Click to expand... Ukivuka barabara ya sokoni upande wa pili kma unakuja kweny bnda la kuonesha games.
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,287 Reaction score 35,678 Nov 4, 2018 #341,987 AmorEy said: Ukivuka barabara ya sokoni upande wa pili kma unakuja kweny bnda la kuonesha games. Click to expand... Oh, napajua, jirani yangu hapo. Malizia wikend kwa usalama
AmorEy said: Ukivuka barabara ya sokoni upande wa pili kma unakuja kweny bnda la kuonesha games. Click to expand... Oh, napajua, jirani yangu hapo. Malizia wikend kwa usalama
Savage Dad JF-Expert Member Joined Jul 10, 2018 Posts 1,388 Reaction score 2,611 Nov 4, 2018 #341,988 Obe said: Oh, napajua, jirani yangu hapo. Malizia wikend kwa usalama Click to expand... Na kwako pia mkuu saiv navuka hapa naelekea Z'bar.
Obe said: Oh, napajua, jirani yangu hapo. Malizia wikend kwa usalama Click to expand... Na kwako pia mkuu saiv navuka hapa naelekea Z'bar.
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 4, 2018 #341,989 Shunie said: Na mm nasema ailipie tu Click to expand... shikamoni wote
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 4, 2018 #341,990 Shunie said: Mm sipo hapo nimegeuka shemale Click to expand... usaliti
marybaby JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 3,260 Reaction score 9,197 Nov 4, 2018 #341,991 Shunie said: Mbona gubu woiiii Click to expand... gubu mama nyama zinagoma kbs
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Nov 4, 2018 #341,992 Behaviourist said: In shunie's voice a.k.a shangazi! Click to expand...
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Nov 4, 2018 #341,993 Obe said: Kigamboni gani Click to expand... kule kule kwa mama
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Nov 4, 2018 #341,994 Tumsifu Yesu Kristo ...
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Nov 4, 2018 #341,995 mtu chake said: Tumsifu Yesu Kristo ... Click to expand... Milele amina baba katekista
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Nov 4, 2018 #341,996 Tumosa said: Milele amina baba katekista Click to expand... Hahahaha, mama mchungaji
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,734 Nov 4, 2018 #341,997 Obe said: Wikend huwa Nina mambo ya kimwili zaidi, nitarudi tena niuilize kama Kuna Jipya Click to expand... Ndiyo hayo akina shangazi shunie huwa wanaita kutekwa mkuu?
Obe said: Wikend huwa Nina mambo ya kimwili zaidi, nitarudi tena niuilize kama Kuna Jipya Click to expand... Ndiyo hayo akina shangazi shunie huwa wanaita kutekwa mkuu?
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Nov 4, 2018 #341,998 mtu chake said: Hahahaha, mama mchungaji Click to expand... Umeamkaje mtu chake
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Nov 4, 2018 #341,999 Salama kabisa Tumosa mambo vipi lkn Tumosa said: Umeamkaje mtu chake Click to expand...
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Nov 4, 2018 #342,000 Behaviourist said: Ndiyo hayo akina shangazi shunie huwa wanaita kutekwa mkuu? Click to expand... Ndiwoooo Hi binamu
Behaviourist said: Ndiyo hayo akina shangazi shunie huwa wanaita kutekwa mkuu? Click to expand... Ndiwoooo Hi binamu