Makapuku Forum

...hajambo sana, na wikend ya mshahara hii basi sio furaha kila ukimwangalia.

Uko vizuri lakini wikend hii, Transcend umeona humu jukwaani?
@transcend alikuwepo jukwaani hapo jana kwani hukumuona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au umeanza umbea na ww
 
Shikamoo wakubwa


[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
....ha hahahah, mambo ya wikend yanaishia wikend ukiyaleta j3 unakuwa unatafuta ugomvi. kwa mfano, anko wangu Lyon Lee (unamjua?) yeye wikend hakuna siku anayobaki salama. Akija muulize mgombane
Anko tunatafutana ugomvi..mimekuwajee tena ukanitumia mateka wako?

Hapa ata salamu hakuna ila nambie mgeni amepata anachostahili?
 
@obe anko mkubwa lakin mtagombana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…