Ameen[emoji524]TUOMBE:Baba ni siku nyingine mpya Ijumaa tarehe 2 Novemba umetuamsha tukiwa salama Asante Baba kwa wema na fadhili zako.Tunaomba Toba kwa makosa yote Uturehemu twakusihi.Siku ya leo tunakabidhi vyote ulivyotupa na tunaomba uendelee kutusimamia katika kila jambo.Asante kwa uponyaji wa miili na Roho zetu na asante kwa farajja kwa wafiwa na namna unavyozidi kutubariki siku hadi siku.Wape tumaini wajane,wagane na yatima wasikuache Baba mwema.Endelea kuwasimamia watoto wetu na wajukuu wetu tunaomba Roho Mtakatifu akawe na kila mmoja na atufundishe namna ya kuishi vyema.Tunaomba Baba yote uyatimize sawasawa na mapenzi yako katika jina la Yesu Kristo Amen.
IJUMAA NJEMA NA DAMU YA YESU ITUFUNIKE[emoji257][emoji257]
Marufuku kabisa simu zikae pembeni ukoMambo ya kunyonyana na kubanduana wakati mmoja wenu anacheza na sm MARUFUKU[emoji38]
Kaka ninge huyoo baba wawili wa kudownload
Inakataaje ebu ngoja nikutumie screenshotIle kitu inakataa
[emoji41][emoji41]
Ingia pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]habari za huko shunieKaka ninge huyoo baba wawili wa kudownload
mambo vp mary[emoji41][emoji41]
Fresh,hujambo.?mambo vp mary
Tayari..Ingia pm
sijambo,,,shikamooFresh,hujambo.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] laa haulaa [emoji134]MARAHABAAA,,wajionaje hali.?sijambo,,,shikamoo
Mbona umecheka mary???[emoji23] [emoji23] [emoji23] laa haulaa [emoji134]MARAHABAAA,,wajionaje hali.?
Nimefurahi kupata hiyo salam pasina kutumia nguvu[emoji4] vijana hamuitoi hiyo mpk mshurutishwe[emoji85],,mie nipo poa snMbona umecheka mary???
Niko njema vp ww?
Nzuri baba wawili jamani za kwako uko mama wawili nae anaendeleaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]habari za huko shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] laa haulaa [emoji134]MARAHABAAA,,wajionaje hali.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijambo,,,shikamoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi kupata hiyo salam pasina kutumia nguvu[emoji4] vijana hamuitoi hiyo mpk mshurutishwe[emoji85],,mie nipo poa sn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefurahi kupata hiyo salam pasina kutumia nguvu[emoji4] vijana hamuitoi hiyo mpk mshurutishwe[emoji85],,mie nipo poa sn