Makapuku Forum

Jamani aliyemteka Wick aniachie hata kidogo kila akirudi ananiambia rudisha avatar ya mwanzo siipendi hii haswa hizo nywele namwambia kama hazipendi natural hair zangu anipe laki 4 nikanunue Peruvian hair na vile alivyo mbahili sijui kama atanipa
 
Mi mbona niliiona ile post dada Shunie... ndo maana nikasema simwamini tena huyu jamaa! Sema dada Shunie na wewe unapoongea na mimi usiwe unaongea kwa mapozi namna hiyo bhana! Unanipa mtihani ujue wakati unajua kabisa wewe ni binamu yangu!
Hahhahaha sasa kaka chige mbona hapo sijaongea kwa mapozi hivi nikiongea kwa madeko yangu si utakufa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…