Njoo tufke bei[emoji23] [emoji23] [emoji23]niuzie mimi
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] barikiwa Numby6.Tumia Karanga Mbichi Kiasi .
Karanga pia huondoa kiungulia na maumivu ya tumbo lenye gesi, kama ukitumia kwa kiasi . pamoja na kuwa maji husafisha acid tumboni , lakini pia karanga zinanyonya acid, zinaondoa matatizo ya tumbo. Au unaweza ukatumia Soda crackers ambayo inachanganywa na maji. hii nayo inanynya acid tumboni. kwa sababu inafanya kazi kama antacid.
Lakini pia kama una sodium kidogo inakubidi uepuke hii mbinu na umwone dactari kwa ushauri.
Mbinu hizi ni rahisi na ni nzuri , na unaweza kutumia maisha yako yote. kwa kuongezea kufuata mbinu hizi ,Fanya kujaribu kuwa na afya bora na mtindo mzuri wa maisha ili kuondokana kabisa na matatizo ya tumbo.Na usisahau kushare hizi mbinu za afya na marafiki zako!
“I don’t want to be sick anymore. I’ll eat healthier.”
hatimaliki unazo?Njoo tufke bei[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nambie mpendwa.... nimeitika.... mzima wewe?
Wakati mzuri wa kula ni kuanzia saa kumi na mbili na nusu mwisho saa moja usiku. Huu ndio muda mzuri wa kula . sasa hapo kuna kazi kwa wale ambao wamezoea kula saa tatu usiku au saa nne usiku. ..
Hapa ni kwa ajili ya watu wote wanaotaka kupungua uzito na kuwa na afya nzuri , sio sheria . kwa sababu hio kifungua kinywa unaweza kupata kuanzia saa moja asubuhi kama kawaida kiwe ni cha nguvu.
Ntatafuta[emoji23] [emoji23] [emoji23]hatimaliki unazo?
Nko poa umeadimika sanaNambie mpendwa.... nimeitika.... mzima wewe?
Mmesikia nyie wana wa adamSuluhusho.
Ugonjwa wa wasiwasi ni ugonjwa hatari . inahusisha mwili wako kwa karibu sana , kushindwa kuelewa dalili na mara nyingi kujaribu kutafuta ushauri wa matibabu.
Kama una ugonjwa wa wasiwasi , acha mara moja kuogopa kuhusu kuwa mgonjwa , ni vizuri zaidi kuliko kuwa na unafuu wa dalili za mwili. hata hivyo , watafiti waliona hilo kuwa ni tatizo kubwa linalopelekea kupata ugonjwa wa moyo.
Utafiti mpya unachukulia hili kama mtindo wa maisha ya mtu ndio unaomletea magonjwa haya. lakini ilikuwa ni vigumu kuutenga ugonjwa halisi kuwa ni kisababisho cha ugonjwa wa wasiwasi.
Ukiwauliza watu wenye dalili za magonjwa utegemee kupata wenye ugonjwa wa wasiwasi hapo.