Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ngumu sana kuoa bila baraka za wazazi huwa ndoa za hivyo migogoro haiishi. Niliona mtu analalamika kuwa aika kamtawala nahreel kiasi cha kusahau upande wao na kujali upande wa aika zaidi. Kama ni kweli jamaa ajishtue na kuwakumbuka ndugu zake
Kumbe kwa aika kupo hivyo nilikuwa najiuliza hivi hawa kina aika kwann hawataki kuoana wana mafanikio makubwa nyumba na studio wamejenga pamoja kama ndugu wa mume hawakukubali ndoa haifungwi labda nahreel ajifanye hamnazo amuoe hivyohivyo
 
Back
Top Bottom