...nimekupata hapa lakini sasa nayo isiwe too much, mtu anakula mbogamboga hata ukipishana naye ustasema umepisha na bustani ya mchicha au spinach
...kwani keki unakula kila siku? Sometimes you need to spoil yourself a little bit. Unaweza ukaamua kula sneaker bars zenye maziwa na fursana za kutosha
Jezos....[emoji33][emoji33]imebidi nishangae kwa kinigeria nilikuwa sijui anko binamu..akili za anko wangu hizo, kabla hajafukuzwa kule kwenye mtaa wa mkuu wa mkoa kwa kumpachika mimba mtoto wa shule, mtaani aliitwa TBS.
Ulikuwa hujui hii skendo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haifutwi jitetee hapaHiii naomba moderator waifute
Aiseee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nitayaskia mengi safar hii.....kosa lilikuwa kubwa sana, Tumosa alimuambia anko aache kurambaramba maana anawakosesha raha mabinti anko akajitetea yeye harambirambi anakula kabisa tena. Ndo hivyo ikabidi awekwe kwenye list ya wabaya wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...acha kunipa mabusu nipe email,
Oh, kumbe haya mabusu hayakuja kwangu 🙁, njoo nikurudishie
nilitekwa na wasiojulikana babesinyoritah wapi bibie
Ngoja nine pm kwakwelinilitekwa na wasiojulikana babe
Ilikuwa nzuei sana binamu shikamoo tena...marhaba mama JJ, uko poa usiku wa leo? siku yako inaendeleaje?
Kwa nini usingeweza? Huna chura?[emoji1][emoji1][emoji1]Hahahaha binamu wee mi kulinda nisingeweza
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu kwan wanalinda wenye chura tu?Kwa nini usingeweza? Huna chura?[emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa sababu nilikuwa nilinde nae jana sasa mimi siwezi kulinda na mtu ambae hana chura![emoji19][emoji19][emoji19][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu kwan wanalinda wenye chura tu?
MweeeeKwa sababu nilikuwa nilinde nae jana sasa mimi siwezi kulinda na mtu ambae hana chura![emoji19][emoji19][emoji19]
Kwa sababu nilikuwa nilinde nae jana sasa mimi siwezi kulinda na mtu ambae hana chura![emoji19][emoji19][emoji19]
Mtu na binamu yake[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu kwan wanalinda wenye chura tu?
Woyooooooo wifiiiiiii hauzimiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]nilitekwa na wasiojulikana babe