Makapuku Forum

Kumbee umempaa emojii ya machoziii...wacha apambane na hali yakee
Hahahahaha ngoja nikuonyeshe vizuri niliyompa naiweka hapahapa kwako labda ndo utaiona[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Hahahahaha ngoja nikuonyeshe vizuri niliyompa naiweka hapahapa kwako labda ndo utaiona[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hizi ni zangu ndo maana nakupendaa.....
 
Kupata nataka upate ila asikutafutie yeye mwambie binamu obe labda ndo akutaftie

...kutafuta na kupata mbona rahisi tu humu, aanzishe uzi, aweke picha yake ya mwanamuziki mwenye six pack afu ajiseme yeye ana gari na anakaa Mbeya. Afu aseme tu alishafika Dar (kama hakai Daslamu).

Mimi kumtafutia siwezi maana na sina sababu ya kutoweza.

Vipi ombi langu la email umeliona? Au huna email unatumia ya anko Lyon Lee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…