Hongera binamu umepanda cheo[emoji23] [emoji23] [emoji23]...mimi nabadilibadili, mara nitumie simu, mara laptop, kesho ipad, kesho kutwa tablet ilmradi tu mteja akileta atengenezewe mimi nazitest kwa kuingia JF.
Zamani nilikuwaga fundi saa, siku hizi natengeneza simu na tablets
@shunieMashabiki wa Simba mnaendeleaje hapo Msimbazi?
Vyura mtoni bana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sina haja ya kuyajua hayo ninachotaka fanya ile assignment yangu kwanza!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8]Asante mama wawili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vyura mtoni bana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie@shunie
Ndiwoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ewaaaaaaa
Shululu ameniambia mtoni kwenyewe ni hapa makapuku forum!Ndiwoooo
MMU kule 😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mm mlinz mkuu wa hapa,unataka unipeleke wapi
Usiku mwema.Ewaaaaaaa
Atakuwa katekwa hukoulipomficha!..
Endelea kusubiri rafikiShululu ameniambia mtoni kwenyewe ni hapa makapuku forum!
Huwa naenda mara chacheMMU kule 😀
Sawa mkuu,mpe pole ya safari ynguUsiku mwema.
Samahani Leo sitalinda jukwaa maana wifi yako karudi Leo toka safari😎
Sawa mkuu,mpe pole ya safari yngu
Rafiki hii adhabu ya kulinda jukwaa msije mkanipa mimi please!Sawa mkuu,mpe pole ya safari yngu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntalinda mwenyeweRafiki hii adhabu ya kulinda jukwaa msije mkanipa mimi please!