Kwa hio kumbuka kujiandaa na mabaya itakusaidia wewe kufikia malengo yako kwa urahisi zaidi na kuondoa matuta kwamba kama hukujiandaa ingesababisha kugive up mapema.
Tegemea mazuri, jiandae kwa mabaya yajayo, jipange kwa yajayo, kwa maneno mengine kwamba, usiogope matatizo, yapange na hayo matatizo yatumie yanapokuja, kwa njia hio, utaongeza akili ya mafanikio kwa njia hizo.