Numbisa habari ya weweJifunze Sheria Za Muda.zipo sheria nyingi lakini leo nakuletea baadhi tu kati ya sheria hizo.
Ukithamini muda utayathamini maisha yako. Huwezi kumpendeza Mungu kama unatumia Muda Vibaya. Dhambi nyingi zinatendeka kwenye Muda .
Mafanikio yako yatapatikana kwenye muda.Msingi wa thamani yako ni Muda.Amani ipo kwenye Muda.Muda una nguvu kuliko wewe. Watu ambao wanajua siri hii wamefanikiwa .Ukitaka utoke mahali ulipo jifunze sheria hizi za muda.
1.Ukitaka kuwa Tajiri tumia Muda wa mtu mwingine sio kutafuta pesa.
2.Akili ya Mwanadamu ina uwezo mkubwa , ina uwezo wa kubeba taarifa kuanzia Dakika 45 na kuendelea .
3.Jifunze kuzihesabu siku zako sio miaka.
kama una miaka 50, fahamu kuwa una siku 18,250. kama una miaka 45 utakuwa na siku 16,425, miaka 40 ni siku 14,600, miaka 35 ni siku 12,775 tu, miaka 30 ni siku 10,950 tu , miaka 25 ni siku 9125 tu, miaka 20 ni siku 7300 tu. sasa hapo kuna haja gani ya kujikatia tamaa. fanya kazi kwa bidii.
4.Kila dakika tambua kuwa ina maana kubwa kwako.
5.Komboa Wakati. Usienende kama watu wasio na akili bali kama mtu mwenye Akili.
6.Kila kitu kina Muda wake.
7. Seed time and Harvest. Mbegu, Muda na mavuno
8.Kila kitu kimetengenezwa kwa kutumia Muda. Tumia muda
9.Utavuna ulichokipanda.
Kuwa makini na unachoongea, unachotazama, unachosikia.
10.Muda ndio msaidizi wa Mungu. Kila unachokifanya unaangalia Muda.
11.Sifa kubwa ya Muda , Unakufa haraka
12.Huwezi kuweka muda kama akiba kabatini
13.Utajiri na heshima viko kwenye Muda
14.Kumtumikia Mungu inalipa.
15.Aliye mwaminifu kwenye kidogo huwa mwaminifu kwenye kikubwa pia
16.Tumia Muda kumpenda Mungu na kuwapenda watu na kuipenda nafsi yako
17.Mungu ni Alpha na Omega
18.Dunia ina mwendo kasi.
19.Imani Ni Sasa. Sasa ni Muda
20.Miliki saa ya mkononi, ukutani, miliki kalenda
21. keep time
22.Be on time
23.Anza na muda
24.Fika kwa wakati
25.Maliza kwa muda
26.Mshukuru Mungu muda wote
27.Msifu Mungu
28.Mwabudu Mungu
29.Vumbua kazi ya Mungu aifanyayo ndani yako Mwanzo hata mwisho. Muda.
30.Jifunze kuwepo mahali sahihi, Muda sahihi, watu sahihi na jambo sahihi.
Kabisa habar yakooNawasalimu wote Huku jukwaan
Bila shaka Mungu ni mwema kwa pumzi yake
Njema demisKabisa habar yakoo
Miss yooo[emoji16]abee dada
Shikamoo shemelaHabari yako jirani!..
Natumai itakuwa mbaya Jumatatu jenga hii!🙂
Ameni barikiwa NumbyMbinu Itakayokusaidia kutambua na kubadili mawazo mabaya yanayokuja kwako mara kwa mara .
Tamaa mbaya, mawazo mabaya, mitazamo mibaya inayotokea kwenye maisha yako yanaweza kutoweka kwa urahisi kuliko unavyofikiria . Unapokuwa unafikiria vibaya kila mara unaongeza risk ya uharibifu wa akili yako, unasababisha matatizo ya afya yako, Mahusiano yako, kipato chako hakiwezi kukaa vizuri.
Lakini habari ya mijini ni hii , kila mtu anaweza kujifunza jinsi ya kuondokana na Negative thinking. Mimi nimejifunza kitu kikubwa hapa, Kwamba mtu anapoamua kujifunza kubadilisha mawazo mabaya aliyonayo juu ya kitu chochote , sio tu atajisikia vizuri bali tabia inabadilika pia
Kutengeneza tabia nzuri ni ngumu , lakini kuishi tabia nzuri ni rahisi. Na kutengeneza tabia mbaya ni rahisi lakini kuishi tabia mbaya ni ngumu kupita kiasi. Wazazi wengi wanalea watoto kimayai , wanasahau kuwa kiburi cha mtoto kinaanzia akiwa na umri wa miaka 3. Hapo usimnyime mtoto fimbo kila anapokosea. Ni vizuri kuanza kujenga misuli ya akili inayofikiri mazuri mapema.
Jinsi Gani Unaweza Kubadilisha Mawazo Mabaya.
Mawazo haya husimamia hapa; Kujilaumu, kutazama Habari mbaya, Huzuni ya kuotea, mawazo mabaya juu ya wengine, kazi , biashara, mahusiano. Usipokuwa makini unaweza kufikiri ni mawazo mazuri lakini sio. Tambua ni jinsi gani mawazo mabaya yanavyokuja kwako.
1.Kujilaumu. Mahali ambapo unatakiwa kuchukua jukumu lako na kujiona kuwa huwezi kutimiza lengo kutokana na tatizo la kiakili ndani yako ni kutokujua kutumia muda wako vizuri. Kila kitu utakuwa unaona kama unaharibu. Jaribu kutazama muda ulionao na ule ambao umetumia unapokuwa unajilaumu utagundua kuwa kuna tatizo ndani yako mwenyewe.
2.Kutazama Habari Mbaya; Kama kuna mambo tisa mazuri yametokea kwa siku, Utaona jinsi inavyokuwa rahisi kufuatilia lile moja baya badala ya kufuatilia mengi mazuri. Lakini tambua kuwa kuzamia kwenye mawazo hayo mabaya yatakukwamisha kwenye giza kubwa na ukiwa na utupu mkubwa. Ni muhimu kurudi kwenye mazuri kila mara unapoona dalili hio mbaya. Rudi kwenye Nuru.
3.Huzuni Ya Kuotea. Hata kama hujui ni kitu gani kitatokea kesho, Ni vizuri kjijengea tabia ya kuwaza mema kila mara. Muombe Mungu kila siku akujaze Tunda la roho ndani mwako. Neno la Mungu Linasema kuwa Katika Mathayo 7:7 Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, Bisheni nanyi mtafunguliwa. Kama unaona upungufu wa kitu ndani yako muombe Mungu. Yakobo 1:5. mtu wa kwenu akipungukiwa na …. Na aombe Dua kwa Mungu awapaye wote kwa ukarimu.
Huenda unakuwa na wasiwasi wa kutokupandishwa cheo, kutokupata wateja, kuharibika kwa mahusiano, kutokupona ugonjwa ulionao, Huzuni ya kuotea isikuharibie utabiri wako mzuri kwa ajili ya kesho yako.
4.Kujishusha Hadhi; Kujisemea maneno mabaya mwenyewe, mfano umeenda kwenye usaili na kujiona kama umefanya vibaya kabla ya matokeo au kujishawishi mwenyewe kuwa huwezi kupata kazi . Kwa jinsi unavyozidi kuwaza mabaya ndivyo unavyojishusha chini zaidi. Na jinsi unavyojisikia vibaya unashindwa kuwaza mazuri.
Kitu Gani Cha Kufanya Mara Unapoona Hali Hio Inakupata.
Mara tu unapotambua hali hio inakutokea . Haraka sana Angalia muda wako unatumiaje, Isije ikawa akili yako imekuwa karakana la Adui . Akili ikiwa bize huwezi kuwaza mabaya. Jiulize mwenyewe kama Unawafanyia watu kile ambacho unapenda wewe ufanyiwe? Ukiwa unajiwazia mabaya mwenyewe, utafungulia mlango wa watu kukuwazia mabaya pia. Jiulize kama ungeweza kusema nini kwa rafiki ambaye ana tatizo kama hilo?
Fanya mchakato mpya wa kusave pesa za kutosha kwa ajili ya baadae.
Thubutu leo kujisemea maneno mazuri , na ukumbuke kuwa kujenga tabia nzuri sio siku moja, kwa hio usikate tamaa, dhamiria kubadilika. Inawezekana.
Tambua kuwa kuwekeza inahitaji juhudi kubwa. Kubadilika kimwili inategemea sana mabadiliko ya kiroho . Ubongo wako unakusubiri wewe kufanya maamuzi ya kitu gani unataka katika maisha yako.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Jifunze Sheria Za Muda.zipo sheria nyingi lakini leo nakuletea baadhi tu kati ya sheria hizo.
Ukithamini muda utayathamini maisha yako. Huwezi kumpendeza Mungu kama unatumia Muda Vibaya. Dhambi nyingi zinatendeka kwenye Muda .
Mafanikio yako yatapatikana kwenye muda.Msingi wa thamani yako ni Muda.Amani ipo kwenye Muda.Muda una nguvu kuliko wewe. Watu ambao wanajua siri hii wamefanikiwa .Ukitaka utoke mahali ulipo jifunze sheria hizi za muda.
1.Ukitaka kuwa Tajiri tumia Muda wa mtu mwingine sio kutafuta pesa.
2.Akili ya Mwanadamu ina uwezo mkubwa , ina uwezo wa kubeba taarifa kuanzia Dakika 45 na kuendelea .
3.Jifunze kuzihesabu siku zako sio miaka.
kama una miaka 50, fahamu kuwa una siku 18,250. kama una miaka 45 utakuwa na siku 16,425, miaka 40 ni siku 14,600, miaka 35 ni siku 12,775 tu, miaka 30 ni siku 10,950 tu , miaka 25 ni siku 9125 tu, miaka 20 ni siku 7300 tu. sasa hapo kuna haja gani ya kujikatia tamaa. fanya kazi kwa bidii.
4.Kila dakika tambua kuwa ina maana kubwa kwako.
5.Komboa Wakati. Usienende kama watu wasio na akili bali kama mtu mwenye Akili.
6.Kila kitu kina Muda wake.
7. Seed time and Harvest. Mbegu, Muda na mavuno
8.Kila kitu kimetengenezwa kwa kutumia Muda. Tumia muda
9.Utavuna ulichokipanda.
Kuwa makini na unachoongea, unachotazama, unachosikia.
10.Muda ndio msaidizi wa Mungu. Kila unachokifanya unaangalia Muda.
11.Sifa kubwa ya Muda , Unakufa haraka
12.Huwezi kuweka muda kama akiba kabatini
13.Utajiri na heshima viko kwenye Muda
14.Kumtumikia Mungu inalipa.
15.Aliye mwaminifu kwenye kidogo huwa mwaminifu kwenye kikubwa pia
16.Tumia Muda kumpenda Mungu na kuwapenda watu na kuipenda nafsi yako
17.Mungu ni Alpha na Omega
18.Dunia ina mwendo kasi.
19.Imani Ni Sasa. Sasa ni Muda
20.Miliki saa ya mkononi, ukutani, miliki kalenda
21. keep time
22.Be on time
23.Anza na muda
24.Fika kwa wakati
25.Maliza kwa muda
26.Mshukuru Mungu muda wote
27.Msifu Mungu
28.Mwabudu Mungu
29.Vumbua kazi ya Mungu aifanyayo ndani yako Mwanzo hata mwisho. Muda.
30.Jifunze kuwepo mahali sahihi, Muda sahihi, watu sahihi na jambo sahihi.
Mm sijambo mkuu EddyNawasalimu wote Huku jukwaan
Bila shaka Mungu ni mwema kwa pumzi yake
Pale anaporidhishwa kimahabaaaNjema demis
Hebu nieleze tangu lini mwanamke mrembo akamhonga mwanaume
Tumosa babyyyyMm sijambo mkuu Eddy
Asante sana kwa sala nzuri. Yote yakawe kama ulivyoomba na mapenzi ya Mungu yakatimizwe kwetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji524]TUOMBE:Baba yetu na Mungu wetu Tunakushukuru sana kwa yote unayotutendea,Asante kutuamsha salama leo tarehe 17 Jumatatu Septemba 2018 Tunaomba endelea kutusamehe, kutupigania ..ponya wagonjwa ,ponya mioyo iliyopondeka ..angalia wajane,wagane ,yatima na waliopoteza tumaini tusaidie tuweze kusema ndiyo kwa upendo wako mkuu na kukutumainia .
Tuimarishe imani zetu na endelea kutuongoza mioyo yetu ikutukuze wewe.
Tunaomba utusaidie katika mapito yetu imarisha uchumi wetu,bariki kazi za mikono yetu zizae matunda ya kukupendeza .
Wasaidie watoto na wajukuu wetu wakujue na kukutegemea wewe tu ,wakukabidhi maisha yao yote..wakupende na kuujua upendo wako wa milele.
Asante Baba kwa msamaha na huruma yako Mungu wetu umekua kimbilio letu na haujawahi kutuacha.endelea kuwafariji wafiwa,wenye changamoto mbalimbali tusaidie tuimarike katika kukutegemea.Roho Mtakatifu kaa nasi siku zote za maisha yetu Adui ashindwe katika jina la Yesu Kristo Damu ya Yesu inene mema katika kila tunalopitia tunaomba na kuamini katika jina la Yesu Kristo Amen.
JUMATATU NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nawatakia kila mmoja kwa nafasi yake, wiki njema yenye mafanikio. Hapa ni sehemu nzuri kwa sababu wewe mdau wa Jukwaa hili upo hapa
Nambie mrs mgangaTumosa babyyyy
Ameni[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante sana kwa sala nzuri. Yote yakawe kama ulivyoomba na mapenzi ya Mungu yakatimizwe kwetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Numbisa habari ya wewe