Hey! Naitwa "Babu" Asprin. hiyo "mkuu" muitane nyie kwa nyie...
Last warning...
Km ww ni mbabu njoo hapa Bunju kwenye hekalu langu nikupe kazi ya ulinzi
Ile aliweka mtoto bwana siyo mimi mpwa.Hahhaha nilijua tu nakumbuka avatar ya supla ya anko
Mh anko I'd yako ya jf mtoto anaijuaje jamaniIle aliweka mtoto bwana siyo mimi mpwa.
Hebu njoo PM kwanza nikuambie kitu changu.Shikamoo babu yangu kipenzi
Bunju ipi? Mi niko Makuti Bar hapa Bunju B. Delington pale pamenishinda tabia...Km ww ni mbabu njoo hapa Bunju kwenye hekalu langu nikupe kazi ya ulinzi
Acha tu mpwa....stori ndefuMh anko I'd yako ya jf mtoto anaijuaje jamani
Nilikuwa nakeambia kwenye ile picha hakuna Lodilofa maana yeye ni wa mjini (BornTown) au tuseme ni bilionea km mimi ndio maana kwenye jarida lao yeye pekee ndiye anatembelea matako(gari)We mzee uliniquote nn ukafuta kwenye thread ya kina mapepe
Bunju CBunju ipi? Mi niko Makuti Bar hapa Bunju B. Delington pale pamenishinda tabia...
Shikamoo babuHey! Naitwa "Babu" Asprin. hiyo "mkuu" muitane nyie kwa nyie...
Last warning...
He he haya mambo yameanza lini babu mm na ww kuitana pmHebu njoo PM kwanza nikuambie kitu changu.
Marahaba nitaiitikia kulekule...
Acha tu mpwa....stori ndefu
Ile picha nililazimika kuweka hadi Facebuku bwanaaa. Na hii ID ya ML sikufungua mimi mwanzo..mimi nilifungua The Emperor tu.
Nilikuwa nakeambia kwenye ile picha hakuna Lodilofa maana yeye ni wa mjini (BornTown) au tuseme ni bilionea km mimi ndio maana kwenye jarida lao yeye pekee ndiye anatembelea matako(gari)
Bunju C
Area of Millionaire
Mimi JF nilikuwa msomaji tu, nilishawishiwa kujiunga na watu ndiyo nikatumia ID ya The Emperor na Cobblepots kidogo. Baadae nikasahau passwords nikawa natumia ML...ID ambazo nimefungua ni The Emperor na Breena Saitoti ambayo nimfungulia kiumbe fulani hivi mtata.Aiseee pole anko
Hawafanani maana Lodilofa ana tumbo kubwa km pipa na anavaa mashati size ya Le Mutuz na miwani nyeusi achilia mbali kofiaKumbe mbona wamefanana jamani
Sawa anko nimekuelewa sanaMimi JF nilikuwa msomaji tu, nilishawishiwa kujiunga na watu ndiyo nikatumia ID ya The Emperor na Cobblepots kidogo. Baadae nikasahau passwords nikawa natumia ML...ID ambazo nimefungua ni The Emperor na Breena Saitoti ambayo nimfungulia kiumbe fulani hivi mtata.
Hawafanani maana Lodilofa ana tumbo kubwa km pipa na anavaa mashati size ya Le Mutuz na miwani nyeusi achilia mbali kofia