Makapuku Forum

Kwa hyo humo hakuna kulipia mke mweee

Unachukua bidhaa unaondoka au?

..ninamu yangu wewe akili zako huwa naziona sana zinaendana na za anko wangu Lyon Lee . Unalipia tena hakuna hata kuomba kupunguziwa bei, unayoikuta kwenye lebo ndo hiyo hiyo.

Kesho ni Furahiday nitafafanua nikiwa kwenye bar ya mzee shayo, ile anayoendaga mtu chake kupiga masanga
 
Akija binamu yako atakuelekeza

...maelezo nitamuelewesha, muelekeze aje tuisheni center jirani na hospital ya mama Ngoma atanikuta hapo, atanikuta nimevaa tai nyekundu na mokasini nyeupe na suruali ya dengilizi shati limepigwa pasi na lina picha ya ndege kwenye mifuko halafu natafuna bazoka ina harufu ya kitunguu garlic
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…