Duh ni jambo jemaNimeshamsaidia chochote nilichonacho Mungu amfanyie wepesi na kumponya kwa magonjwa aliyokuwa nayo
Nitajitahidi kesho au keshokutwa niwe nimetimizaUsijari Mkuu utafanikiwa na utatekeleza ,mm nilikua mbali mno lkn ujumbe wako na mkuu mwingine ulinigusa,ikabidi nipige simu Dar kwa MTU afanye hivi ilivyofanyika
Binafsi nakuombea utimize lengo
Hivyo siwezi mie tafuta mwingine akukojolee we mzee
Kila la kheriDuh ni jambo jema
Nitajitahidi kesho au keshokutwa niwe nimetimiza
Ni utani tu, naimani hata yeye huwa anatania pia.Yaan ww mtu unajifanyaga decent woiii sio kila kitu kinachopostiwa unachukulia serious wenzio yanaishia hapahapa tunajifurahisha
Hahahaha, uko sahihi ,mm siwezi kuwa serious hapa, ila nimejiFUNZA kituNi utani tu, naimani hata yeye huwa anatania pia.
Ushafika wewe, kutunukisha uvundo wenzio.
Jamani Shunie, mzima wewe! Nakumiss sanaaaa, habari za majukumu.
Shunie akee!!
Vzr sana,itapendeza zaidi na makapuku wengine wakaungana ktk hili
Bwege mtozeni huyo.
Duh ni jambo jema
Nitajitahidi kesho au keshokutwa niwe nimetimiza
Hahahaha, uko sahihi ,mm siwezi kuwa serious hapa, ila nimejiFUNZA kitu
Ni utani tu, naimani hata yeye huwa anatania pia.
Anko nipo nachuma uzee tu.Safi anko wangu jamani nakumiss pia nafurahi kukuona
Utani,ila nikashangaa kuona km umepanic hv ,najiFUNZA kitu humu badoHivi mtu chake na ile siku unashangaa mm kujuana na Lyon Lee kwenda pm ilikuwa utani eenh
Utani,ila nikashangaa kuona km umepanic hv ,najiFUNZA kitu humu bado
Leo utalala chini usilete za kuleta hapa shunie akeeJiandae kuniwekea nailon au kutoa godoro nje
Mzima kwa kweli sijui wewe..Mzima jamani
Leo utalala chini usilete za kuleta hapa shunie akee