Anko binamu mbona unaletaa fyokofyokooo mda huu au kisa jana cheusi wako asha alikutwa na jamaa wako wa mtaa wa pili...unaenda wapi? Basi umegeuza mgongo tu, toba anko wangu Lyon Lee akasoma namba, bora ungekaa kidogo labda angenisimulia mambo ya mapokezi
Anko nishapataa info zote za kuachika.......acha tu anko, haya maisha kama yangekuwa yanauzwa ningemuuzia hata makaveli10 anipe hela.
Nimechiwa kwa kuachika anko, hii dunia kumbe kubwa sana aisee.
Ujue wewe ni mtaalamu wa kupata ukikosa baharini hata kwenye tope unamvua kambale
Kuna MTU nimemmiss humu,ila nimemsahau..hebu anikumbushe kdg
Changu changu chako changu anko binamu sasa unaonaa nongwaa mm kumkaribisha mrembo wangu huyu make mm ndo mwenyejiii .......duh, yaani uko kama upupu mjomba, unawasha hata bila kukosewa, huyu si mgeni jamani hata hajatambulishwa hajanijua hata mimi au mtaasisi Nyagei ushamwaga undambwindambwi maaninah wallah
Zaidi ya kukupigia pasi ya mwisho, hakuna la ziada wala kiada.
Gani
Hana muda kasema...anko una muda tutete kidogo? yaani leo ninajihisi kuwa na maneno matamu isivyo kawaida, nimelamba sukari nadhani. Kama umelamba chumvi/limau basi sema kwa nguvu kabisa kuwa huna muda
...anko una muda tutete kidogo? yaani leo ninajihisi kuwa na maneno matamu isivyo kawaida, nimelamba sukari nadhani. Kama umelamba chumvi/limau basi sema kwa nguvu kabisa kuwa huna muda
Hapa sio kuzibiana ridhik alafu kesho niitwe mkuu?
Kutoka swtie mpaka kaka
Swty tulaleemuda upo binamu wewe tuu
Swty tulaleemuda upo binamu wewe tuu
Anko binamu hivi si unamzungumziaa uliyenionesha majuzi kwenye simu yako kamaliza kumbe ....umekuzaa...jinga sana weweumenifanya nimecheka hadi binti wa mwenye nyuma (kigori kimeiva na kimemaliza STD seven)
anko wakati unaandika ulikuwa unakula nini?
najua lee ndo maana unanilinda 24hrs
Husna umemfukuzaa kapuku ?Ukisikia maendeleo ya reli ya StilajiGoji ndo hii sasa,
Toba hiyo ni kwa akili ya wote?
Inategemeaa anko binamu alafu anko mbona sikuelewii kuna usalama kwelii...anko uko vizuri, siku hizi umeninunua pisto, sasa kule kwa mganga jeshi hatutaenda tena?
mzoee hivohivo atajirekebisha