TUOMBE:
Baba Asante kutuamsha salama tukiwa wazima siku ya leo
Tunaomba Toba mikononi mwako endelea kutupigania Mfalme wa Amani.Tuponye,Tubariki,Tuhuishe
Tunajikabidhi sisi na kila tunalopitia Baba mikononi mwako..wafariji wafiwa wote wape mahitaji na tumaini wajane,wagane ,yatima watie nguvu waliipondeka mioyo.
Damu Takatifu ya Yesu Kristo inene mema makazini,safarini,katika masomo,kwa watoto na wahitaji wote wakutafute wewe .
Hesabu hatua zetu Roho Mtakatifu kaa nasi.Ni katika jina la Yesu Kristo naomba na kuamini Amen
JUMATATU NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE