Wanyantuzu bado tunamhitaji Mh. Mtaka. Jamaa simple sana kanisani anaimba kwaya na anataka kuwa treated sawa na wenzake. Mkoa wa Simiyu unabadilika kwa kasi sana chini ya uongozi. Huko Dar pambaneni na Bashite wenu
Zinedine Zidane anasema kocha Jose Mourinho wa klabu Manchester United...anatakiwa kufanya usajili wa wachezaji wenye uhakika...na amewataja baadhi ya wacheza amabao anatakiwa kufanya usajili kama... Thiago Alcantara
Toni Kroos
Edinson Cavani
James Rodriguez