eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Labda huyo msukuma awe ameloea Dar kama masanja mkandamizaji hapo utaponaZa nyumbani zina tofauti gani na hizo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kupika kwenye niniNalijua tena kupika kwenye kuni
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kupika kwenye nini
Lile la mawe matatuKwenye jiko la kuni
Lile la mawe matatu
Nimekwambia utapata tabu sana usukumani huko [emoji3] kule sio tangaKwetu tanga majiko yenu ya kuni yamejengewa kabisa kwa udongo kuni zinaingizwa kwa chini tu sasa sijui ya usukumani
Yeruuuuu...[emoji3][emoji3][emoji3] bei sijui kakaSawa dadake bei Tafadhali
Asantee mrs infoJe wajua au unataka nikujuze zaidi kuwa nami shunie shunie