Ubarikiwe na ww kakaNashukuru dadake
Ubarikiwe
Sawa mkuuNiko salama za huko?
Kisukuma tunasema Nalimhola/Ndemhola Shakwene?. Lugha za Kibantu hizi. Misamiati ya asili inakuwa na mizizi inayofanana.
Hapo hawezi kuvumilia atapakimbia muda sio mrefuVipi kulima kwenye majaruba ya mpunga kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa 10 jioni? Na kuteka maji? Na kupasua kuni?
Hata mimi nimemshangaa ila nimeona nikaushe tuHapo hawezi kuvumilia atapakimbia muda sio mrefu
Sijaanza badoKhaaaa
Umeanza sasa
Anajichetua tu hapoHata mimi nimemshangaa ila nimeona nikaushe tu♂️♂️♂️♂️
Asante za hapo ulipo viwanda vinajengwa?
Hapo hawezi kuvumilia atapakimbia muda sio mrefu
Hata mimi nimemshangaa ila nimeona nikaushe tu
Anajichetua tu hapo
Yeye anafikiri atampikia mumewe tu
Mimi natafuta sehemu ya kujenga kiwanda cha juice nitapata eneo na matunda?ah wapi nani anapafahamu huku
Hajui kuwa kuna kupikia midume zaidi ya 20 tena ugali mgumu kama jiwe wa motoooo usio na bunye hata mojaAnajichetua tu hapo
Yeye anafikiri atampikia mumewe tu
Hahaha waaow...safi sana kaka,ee maeneo yapo mengi tuMimi natafuta sehemu ya kujenga kiwanda cha juice nitapata eneo na matunda?
Nitapika jamaniHajui kuwa kuna kupikia midume zaidi ya 20 tena ugali mgumu kama jiwe wa motoooo usio na bunye hata moja
Sawa dadake bei TafadhaliHahaha waaow...safi sana kaka,ee maeneo yapo mengi tu
Kazi za nyumbani sawa ila hizo zingine hutaweza weweHe he achana na maisha ya jf watu tunafanya kazi za nyumbani ukiambiwa huyu ndio shunie utakataa
Kazi za nyumbani sawa ila hizo zingine hutaweza wewe
Hajui kuwa kuna kupikia midume zaidi ya 20 tena ugali mgumu kama jiwe wa motoooo usio na bunye hata moja
hili sijui kama analijua shunie