Kipochi chake hakikutoa harufu ya mishkaki kweli??..mikuyange 900+?!!!
Aisee maumivu lazima yawepo..wengine mwanaume mmoja tu ukizidisha tu kidogo kusimamia ukucha unasukumwa..Ebu shangaa Darmian hivi kwanza hawasikii maumivu kwenye papuchi
Aisee maumivu lazima yawepo..wengine mwanaume mmoja tu ukizidisha tu kidogo kusimamia ukucha unasukumwa..
Karibu kitabuI'm back again
Ah! Dada Shunie bhana, kwani kuna anayetaka kugombanisha ukaka wetu! Huyo awaye mwana fitina mwambie we ni dadangu tu na ubinamu wa hamu ni wikiendi pekee... mwambie Wick asiwe na presha!Hahhahaha kaka chige we ni kaka angu ujue
Thank youKaribu kitabu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] ameni[emoji524]TUOMBE:
Tunakushukuru Baba Mungu wa Mbinguni kwa kuwa Unatupenda sana umetulinda Usiku kucha na kutuamsha salama siku ya leo.
Kwa jina la Yesu Umetuzuilia hatari zote za mwili na za roho na maumivu yote .
Tunaomba Roho Mtakatifu kaa nasi siku ya leo Utuongoze.
Baba Tunaomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo Kwa maneno kwa matendo na kwakutotimiza wajibu wetu mbalimbali na Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tunakuomba utulinde mchana wa leo tusikose njia zako wala kupatwa na maovu Utupe kukupendeza wewe kwa maneno na matendo Mwenendo wetu uwe mzuri kwani mwili na roho vyote ni mali yako naviweka mikononi mwako.
Malaika wako wawe pamoja nasi sote Shetani asitushinde Wafariji wafiwa wote wajane wagane na wahitaji wote ponya wagonjwa na waliovunjika moyo ondoa kiburi,masengenyo kujikweza na dharau tupendane na kuheshimiana kila mmoja amuone mwenzake kuwa wa thamani na ameumbwa kwa mfano wako Mfalme wa Amani.
Walinde wasafiri wote wa majini Angani Nchi kavu ponya familia na ndoa zetu na wote wanaotusaidia katika kazi za kila siku wakujue wewe Baba Bariki kazi za mikono yetu na utupatie riziki halali tunaomba wabarki watoto wetu majumbani mashuleni na makazini waishi maisha ya kukupendeza na wakutumikie wewe Mungu wetu waepushe na hatari zote za miili na roho wafanikishe katika kila jambo Mungu wetu na katika masomo yao wawe kichwa si mikia.wape kibali mbele zako na watu wote na wawe na hofu yako Mungu wetu.
Tubariki na kutulinda kila tuingiapo na kutoka bariki kazi za mikono yetu zizae matunda ya kukupendeza tujalie kila lililo jema Mungu wetu na Baba yetu.
Tunaomba haya Baba katika jina la Yesu Kristo AMEN
SIKU NJEMA JUMAMOSI
NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE[emoji257][emoji257][emoji257]
Shikamoooo[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji3][emoji3][emoji3][emoji108][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23] anapenda kusalimia huyu usihofu.Hahahahaha,
Tena kwangu mimi mwenye mvi ndiyo lazima atakimbia kabisa
Shikamoo cha ugimbiNgoja nikazimue nitakuja kuwasalimia
Alfa yupi @AlphapiiKumbe Alpha we ndio The Book si ulikuwa una I'd yako ya zamani
Shikamooo shemelaZe kitabu, ze panyabuku, ze buku, ze jero..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu sanaHata mimi nakuona bwana!
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Kama umeshafanya mapenzi basi ujue hauna sehemu za siri
AiseeKila mtu na kipaji chakeView attachment 860324
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kipochi chake hakikutoa harufu ya mishkaki kweli??..mikuyange 900+?!!!
Ilikua zamani utotoni huko.Usiogope babe sababu nakujua condom ni muhimu kuliko chochote usisahau ukiwa unaokota club
Hahahh kwa kweli toka kasikia kwa watu basi kanikazia naenda club tu hadi leo!.. Kanasahau na kenyewe kalevi bomba!.
Teh teh basi atanisalimia sana ![emoji23][emoji23] anapenda kusalimia huyu usihofu.