Hii njemba mimi naifahamu vizuri,..
Huwa haitoagi taarifa ili kueliminate competition.
Unayajua yale mabepari profesheno
Nimeshakuwa mwenyeji bosi.mzima lakini?
Hili ntakupa uzoefu zaidi tukiwa wenyewe bwana!Nipe uzoefu ulilisolve vipi bila lawama hilii😀..
Kumbe unafanya makusudi eeh!?...
...bosi eeeh, huyu bosi kakuajiri au nikheshima tu kama ilivyo mkuu?
Alivyo mkorofi baadae ntaulizwa kimya kimya na kina nani hao!..Mbali na ubahili wa pesa, pia ni mbahili kutoa taarifa kama hizi....
Yeye kimya kimya tu....
Nyuki wa cafteria au
Mm sitakiwi kujuaHili ntakupa uzoefu zaidi tukiwa wenyewe bwana!
Hayapendi kushare taarifa muhimu ili kupunguza upinzani.Nayajua anko ndio yapo kama wick eenh
Alivyo mkorofi baadae ntaulizwa kimya kimya na kina nani hao!..
Hayapendi kushare taarifa muhimu ili kupunguza upinzani.
teh teh teh teh, hii njemba inapenda kufungia mafaili yote.
Sasa mama ukishajua mizunguko yangu yote uanaume wangu utakuwa upi tena!?..Babe ww kufatwa hutaki kabisa
Kumbe unajua?mbona unipa kazi sana akili yako.
Kuna lile lizee la eskro lile,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti mwenyewe
Sasa mama ukishajua mizunguko yangu yote uanaume wangu utakuwa upi tena!?..
...akili haiwi akili kama hauipi kazi, ulikuwa unalijua hili?
baada ya yeye kununua!?..Si nilivipenda tu mm