Makapuku Forum

Mambo makuu ya manne ya kutazama mechi za kimataifa, Messi hayupo, Ronaldo hayupo, Sane karudi


1) Je Sané atamkosoa Löw ?

Joachim Löw amewaongeza wachezaji wa tatu kwenye kikosi chake. Wachezaji hao ni pamoja na Mchezaji wa Bayer Leverkusen Kai Havertz, wa Hoffenheim Nico Schulz na kinda wa PSG Thilo Kehrer.

Ujerumani wakitolewa raundi ya kwanza kwenye makundi ya kombe la dunia tokea mwaka1938. Löw ameamua kurudia matapishi yake kwa kumrudisha kikosini Leroy Sané. Hii ni nafasi yake ya kuonesha kuwa alistahiki kuwamo kikosini wakati wa fainali za kombe la dunia nchini Russia.

Ujerumani wapo kundi A la Ligi namba1 ya michuano na UEFA national league. Huu ulikuwa mtazamo wa Jacob



 
1) Je Sané atamkosoa Löw ?

Joachim Löw amewaongeza wachezaji wa tatu kwenye kikosi chake.

Wachezaji hao ni pamoja na Mchezaji wa Bayer Leverkusen Kai Havertz, wa Hoffenheim Nico Schulz na kinda wa PSG Thilo Kehrer.

Ujerumani wakitolewa raundi ya kwanza kwenye makundi ya kombe la dunia tokea mwaka1938. Löw ameamua kurudia matapishi yake kwa kumrudisha kikosini Leroy Sané.

Hii ni nafasi yake ya kuonesha kuwa alistahiki kuwamo kikosini wakati wa fainali za kombe la dunia nchini Russia. Ujerumani wapo kundi A la Ligi namba1 ya michuano na UEFA national league.
 
(3)BRAZIL KUMGEUKIA RICHARLISON

Richarlison amesajiliwa na Everton msimu huu kwa ada ya £40m akitoka Watford.

Ameanza vyema msimu kwa kuwafunga Wolves na kuipatia Everton ushindi dhidi ya Southampton.

Ingawa hivi majuzi alipewa kadi nyekundu ya kizembe dhidi ya Bournemouth lakini hilo bado halijawazuia Wabrazil kumwamini.

Mchezaji huyo mwenye miaka 21 anatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya USA na El Salvador. Hakuna jipya ambalo Brazil watahitaji kutoka kwake zaidi ya kufunga tu.
 
(4) Ronaldo amkimbia Dalic

Cristiano Ronaldo ni mbinafsi sana hapendi kuona wengine wanafanikiwa. Siwezi kuwa mchezaji kama yule kwenye timu yangu. Ni mchezaji ambaye yeye moyoni mwake hata timu ifungwe vipi cha muhimu mimi nifunge goli. Hawezi kucheza kitimu kama Modric”

Kwa bahati mbaya Ronaldo amejitoa kwenye timu ya taifa ambayo inatarajia kukutana na Croatia
 
(5)Dybala kitanzina Argentina

Baada ya Messi Higguan na Aguero kushindwa kutwaa makombe matatu ya dunia sasa ni zamu ya Dybala nae kujaribu bahati yake.

Kwenye mchezo wa kirafiki dhdi ya Guatemala kocha wa Argentine Lionel Scaloni, Amewatema Lionel Messi na Higuain.

Kocha Jorge Sampaoli hakumwamini kabisa Dybala katika World Cup. Na huu ni wasaa wake kufanye yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…