Makapuku Forum

Mitumba: '

'Maradhi ya ngozi zaidi ndio husababishwa na ukweli kwamba huenda aliyekuwa anazitumia hizo nguo alikuwa na tatizo la ngozi'' Daktari Fredrick Mashili wa hospitali ya taifa Muhimbili Tanzania

 
Ndomana Divices zao zinauzwa bei juu sana aisee!
 
Mfanyabiashara mmoja raia wa China aliyenaswa kwenye video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii hapo jana akiwatusi wakenya na rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefukuzwa.

Idara ya uhamiaji ilifuta hati yake ya kufanya kazi nchini Kenya na kumtimua.
Wizara ya Usalama wa ndani imekuwa ikiendesha operesheni kali dhidi ya wageni wasio na kibali ya kuwa nchini Kenya.



 
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
moto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
makapuku haizimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…