Weeeeee komaaaaaaa nishakushtukiaaaa...
Sio palee juu au ushahama ?Nikiwa mzima kiinglish hakipandi kabisa au ngoja niende kwa ras simba
Na wewe unakunywa maji ya gold ehee!!??
Vyangu hawawezi kuvila hata kdg ,Hahaha eti nisikukule wewe ,mie MTU poa sana ,siwezi kukulaOhooo shauriako zubaa akina lee wale vyakwako we jiliage huku umefumba macho ila usinile mimi[emoji12]
Sio palee juu au ushahama ?
Mhhhhhhh[emoji22]Utafiti mpya unaonesha kwamba wanawake wenye shepu (curvy women) ndiyo wenye uwezo wa kuzaa watoto wenye akili sana.
Profesa Will Lassek kutoka chuo cha Pittsburg nchini Marekani ambaye aliongoza utafiti huo anasema "mafuta yaliyokuwa kwenye maeneo yaliyojaza sana kwenye mwili wa mwanamke kama;- makalio makubwa, mapaja, na kwenye hips yanasaidia sana kuimarisha DHA (Docosahexaenoic Acid) ambayo ni moja kati ya kijenzi muhimu sana kwenye ubongo wa binadamu.
Kiasi kikubwa cha mafuta ambayo yanahitajika katika kuimarisha ubongo wa mtoto yanatoka kwenye hifadhi ya mafuta iliyokuwa kwenye mapaja na makalio, hivyo wanawake wenye maumbile makubwa kwenye sehemu hizo basi na watoto wao watakuwa na akili sana.
Pia utafiti mwingine uliofanywa 2009, kutoka chuo cha St Andrews huko Scotland unaonesha wanaume wengi wanapenda wanawake wenye shepu (curvy women) kwa sababu wanaonekana ndiyo wenye afya zaidi.
Hivyo ukitaka kutengeneza ka Einstein kingine unajua cha kufanya...
Haya sasa kazi ipo tusiokuwa na shape woiiiii View attachment 859205
Sema na wewe unahusikaa kwa njia moja ama nyingine alipokea naniii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MuongoNimehama mda
Mhhhhhhh[emoji22]
Sema na wewe unahusikaa kwa njia moja ama nyingine alipokea naniii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mambo shunieWoyooooooo shedede mlinzi
Muongo
Mambo shunie
Nipe direction nikija,mjini unipelekee kwa mcuteKweli nimehama
Eeee umeviwekea bima vyako[emoji3],[emoji122][emoji122]sana kwa kunihakikishia kuto kunikulaVyangu hawawezi kuvila hata kdg ,Hahaha eti nisikukule wewe ,mie MTU poa sana ,siwezi kukula
Ooh miss too.Poa miss u
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliwe na naniLabda kama unataka kuliwaa na wewe
Bhas tufanye kidogo upitiwe [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mm sihusiki hata kama nimepokea sio mtumiaji
Watumiajii wa iphone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliwe na nani