Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uwake motoo[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] ABJ njoo ukoleze[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Wouzeeeeeer wouzeeeerrrrrr[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji524]TUOMBE:

Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu ..Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku mpya njema ya leo.

Tunaomba Toba Baba kwa makosa yote uturehemu Ee Baba.

Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tusaidie tuzidi kukupenda,kukuheshimu na kukutumikia.

Asante kwa ajili ya watoto wako wa kike na kiume,Asante kwa ajili ya uponyaji wa Mwili na Roho...Tunalihimidi jina lako Takatifu na Sifa,heshima,Shukurani ni kwako Ee Baba Mungu mkuu
Endelea kutupigania Mfalme wa Amani maana tunakutegemea wewe tu.
Endelea kutuponya,kutufariji,kutubariki katika kila eneo.Hesabu hatua zetu na vinywa vyetu vijazwe sifa zako daima.

Bariki kuingia na kutoka kwetu Damu yako Takatifu Yesu Kristo inene mema.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe katika kila hatua.Asante Baba
Wasaidie watoto na wajukuu walioanza mitihani leo wakumbushe wasaidie wawe washindi.Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako naomba nikiamini katika jina la Yesu Kristo Ameen.

IJUMAA NJEMA YA AMANI NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]
Ameen
 
Wanaume mupooooo kumbe nimeshapata jibu sasa kuwa dish linakuwa halipo sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 851998
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukimanishaaa le akili kubwaziiiii mobimbaaa lishayumba tokea kitambo
 
Back
Top Bottom