Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shikamoooo shemelaAsanteeeee
Shikamoooo shemelaAsanteeeee
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] ameni,asante kwa sala barikiwa mke mweee[emoji524]TUOMBE:
Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu ..Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku mpya njema ya leo.
Tunaomba Toba Baba kwa makosa yote uturehemu Ee Baba.
Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tusaidie tuzidi kukupenda,kukuheshimu na kukutumikia.
Asante kwa ajili ya watoto wako wa kike na kiume,Asante kwa ajili ya uponyaji wa Mwili na Roho...Tunalihimidi jina lako Takatifu na Sifa,heshima,Shukurani ni kwako Ee Baba Mungu mkuu
Endelea kutupigania Mfalme wa Amani maana tunakutegemea wewe tu.
Endelea kutuponya,kutufariji,kutubariki katika kila eneo.Hesabu hatua zetu na vinywa vyetu vijazwe sifa zako daima.
Bariki kuingia na kutoka kwetu Damu yako Takatifu Yesu Kristo inene mema.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe katika kila hatua.Asante Baba
Wasaidie watoto na wajukuu walioanza mitihani leo wakumbushe wasaidie wawe washindi.Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako naomba nikiamini katika jina la Yesu Kristo Ameen.
IJUMAA NJEMA YA AMANI NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]
Sijui alitekwa wapNimefurahi kukuona dume jeuri
Haya Tumo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cc wazee wa selfieWanaume mupooooo kumbe nimeshapata jibu sasa kuwa dish linakuwa halipo sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 851998
[emoji23] [emoji23] ww sio mmoja waoHaya sasa popoz kazi kwenu mnajijuaView attachment 852000
MweeeNatamani ingekuwa na nchini kwetuView attachment 852001
Mbona hata wote tutakoroga mwandiko hapa
Nakuona mke mweee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
I like it
Asante mke mwee tubarikiwe sote [emoji120][emoji120][emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] ameni,asante kwa sala barikiwa mke mweee
Sijui alitekwa wap
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dish mama limekuwa limeyumba huwa najiuliza mwanaume kweli anaweza kweli kufanya vituko hivi kumbe chizi woiiiiii shikamoo je wajua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cc wazee wa selfie
[emoji23] [emoji23] ww sio mmoja wao
Hii wapelekee walio kwenye uzi wa jf usiku wa manane naamini huwa wanakesha wale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 852005
Nakuona mke mweee[emoji23] [emoji23] [emoji23]