Maisha yanaenda mbio sana kumbukumbu kumbukizii kama wewe na yule aliyekuletea saa ya mshale .........ha ahahahha, mjomba na wewe husahau bhana, pale si uliniambia nikatest kumpima imani. Mbaya zaidi alijua mimi ndo wewe akafunguka zaidi lahaulalakwata tukajikuta tuko mwambao wa Tanga. Kilichofuata nilikuomba msamaha.
Hivi bado yupo?
Anko naona unaelekeaa kufanikiwa ndo maana nilidaiivetiii namba ya cheusi kwangu kwa sababu ya unayonifanyiagaaa
Kizuri unakula na ndugu yako ila sio kwq dizaini hiyo
Cheus si nilikuachiaa lakiniiii? Ulinizunguka nikakuzunguka ikabakiii cheusiii achezeshe kete mwishoweeeeeee ulijioneaa..........mkataze asilete mazoea ya kiuno na ulimi maana hivi ndo vinaletaga vishawishi.
Unamkumbuka cheusi?
Sawa lakin anko ...ila kumbuka kwenye katiba yetu tuliufutaa huu msemo kiutumiajiiii......unasema kweli anko, ila unadhani nimesahau ulivyofanya kwa yule mdada wa kisomali aliyehurumiaga tu akanitunuku !? Nakuangalia tu na huu msemo wa kizuri kula na nduguyo
Maisha yanaenda mbio sana kumbukumbu kumbukizii kama wewe na yule aliyekuletea saa ya mshale ...
Kuwepo yupo japo kujua uwepo wake inahitajiii nguvu ya ziada nafikirii ulijionea mwenyewe timbwiliii lakeee...ila binamu tumetoka mbaliii
Sema zile safariiii wacha hayo maisha yapiteeeee ...Ha ahahahha, pale lile timbwili lilihitaji makomandoo wore kulituliza. Hapo ndo nilijua anko wewe El Chapo maana uliwatuliza kwa ile mbinu ya kikapitolisimu siliisamu
Sema zile safariiii wacha hayo maisha yapiteeeee ...
Na nshasikia[emoji53][emoji53][emoji53]...usiongee kwa sauti ABJ akasikia
Ai dada si mimi apa[emoji12]Vigoli hawapo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tupia mahela basiiUzi ushakua wa ma love love,tusiokua na bebez,ndio tunakua makapuku orijino sasa
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwa nalifahamu hilo jirani,,, ni haki yake kukuwekea ulinzi wa nguvu [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kumbe ulikuwa hujui,huoni lyon lee anavyoning'ang'ania mimi ni[emoji91][emoji91][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aka sitaki ulinzi mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwa nalifahamu hilo jirani,,, ni haki yake kukuwekea ulinzi wa nguvu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kumbe na ww umeshituka eeh,, hz shikamoo za Tumosa ziko na kitu si bureYesuuuuu...[emoji33][emoji33]au shikamoo ya humu kapuku ina maana tofauti[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lee hawezi muacha salama huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuwa nalifahamu hilo jirani,,, ni haki yake kukuwekea ulinzi wa nguvu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Me simoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BroHogo eeeh!? [emoji16][emoji16][emoji16]