Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Duuu kuna ambao hawata affordJamani huko Arusha sukari kilo 1 ni Tsh. 5,500/=
source, Amplifier ya Cloud Fm
Duuu kuna ambao hawata affordJamani huko Arusha sukari kilo 1 ni Tsh. 5,500/=
source, Amplifier ya Cloud Fm
Amchukulie nani vile?Labda jaribu kumcheki brother Th Name
Happy Birthday Jimena !hahaha...wewe ni mchochezi
Hiyo ngumu kumezandio...jaribu ulete mrejesho
Chimbuko la Panya road & Vigodoro !!Happy Birthday Jimena !
Mkuu humo sijakuona ukipitisha mkono wako wa ndio[emoji106] [emoji106] [emoji106]
kweli...ila watawala watatumia mabavu tuu kuzima haki ya wanyonge.Siku si nyingi watu wataandamana.
Wanabana eehhhAcheni hizo bhana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
...............
Hata wao wana hati miliki.Nope hiyo sio ya Google wala na kama Google labda niipeleke mie mwenyewe kwasababu nna hati miliki nayo
Hilo nalo ni tatizoWazushi wanatoa za mdomoni tu
...........
Maana hakuna namnaSiku si nyingi watu wataandamana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Amchukulie nani vile?
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Wanabana eehhh
Mguu[emoji85] [emoji85] [emoji85] mbona tunaanza kuchekana sasa?Huo mguu au?
Talking loudHilo nalo ni tatizo
Mtanzania wa kawaida hawezi kumudu kununua hata robo kilo kwa bei hyo.Duuu kuna ambao hawata afford
[emoji15] [emoji15]
Asante ngoja nitie timu hukoHappy Birthday Jimena !
Mkuu humo sijakuona ukipitisha mkono wako wa ndio[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Si ulisema mmeachana mbona akipita kufanya yake [emoji106] huishi kumtajataja
KweliMaana hakuna namna