Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,381
Ili ufanye kama ulichofanya kwa yule wa nyanda za juuPM tena, nayajulia wapi mambo ya pm. Hebu kama una email ya ABJ nitumie nimpe hi.
Anko naona unaelekeaa kufanikiwa ndo maana nilidaiivetiii namba ya cheusi kwangu kwa sababu ya unayonifanyiagaaaOh, sasa unataka anko akodi daladala awalete 20 wanaojulikana ukiwaacha masuria kama mfalme Suleiman
Anakufitinishaaa
Asante sana sijui nianzie wapi chini juu?Karibu
Ndo nashangaaa wakat sio kawaida yanguMbona unatumia nguvu kubwa hvoo?
KatikatiiiAsante sana sijui nianzie wapi chini juu?
Ahaaa! MKUU nani kakuambia nimekuja kuopoa wasiojulikana kweli naanzia wapi maana sijui Luna vigoli humu🙄🙄🙄🙄🙄🙄Katikatiii
Muhimu na onyo kuna wake za watu na waume wa watu usinambie kwani mm sio mtu
Kuopoa humu is not alllowed
Katikatiii
Muhimu na onyo kuna wake za watu na waume wa watu usinambie kwani mm sio mtu
Kuopoa humu is not alllowed
Tahadhariii mapema
Wana watu wao na ABJ ni mrs lee sasa wewe letaa mazoea yasiyo na kichwa wala miguu
Hahahahaa bora hata usiweke tahadhari utaibiwa ili ukomeshwe shauriloTahadhariii mapema
Ntakuwa napaziba nikiwa sipo ili pakitumika nijueHahahahaa bora hata usiweke tahadhari utaibiwa ili ukomeshwe shaurilo
Sent using Jamii Forums mobile app