Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha tena hapa napiga hesabu ,ya kuwagawia memba wa makapuku $ 10 ,10

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Gawa tuu mkuuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Lee si umeona watu wa Bills..

Tena kasema anagawa 10$ kwa kila mmoja wenu..

Haya, pangeni mstari sasa [emoji3][emoji3].
Hahaha mkuu unanichimba eeh

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mkuu una nichimba eeh,mie nina vikapu vya kwenda Malikiti tu

[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mimi sipo mkuu..
 
Back
Top Bottom