Ahsante sana...... yaani kuna kitu kimekatisha hapa shaaaaaaah!
Tubarikiwe soteAhsante sana. Ubarikiwe sana
Hahaha, maisha yenyewe mafupi haya ,kula ugimbi huku na peruzi na kudadisi JFKama kawaida yako
Hahaha, maisha yenyewe mafupi haya ,kula ugimbi huku na peruzi na kudadisi JF
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mwendo wa ugimbi tu
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Swadakta Rafiki ,mdg mdg hapa ,ukisubiri upewe raha na MTU, utapata karahaKunywa baba raha jipe mwenyewe