Makapuku Forum

[emoji524]"Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu."

Methali 3: 24

Mungu awatunze usiku huu,Malaika walinzi waweke kituo kila nyumba,Damu Takatifu ya Yesu Kristo itufunike
Usiku Mwema[emoji257][emoji257][emoji257]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mm sio mlevi usiombe sasa tuwe club nimelewa nachezaje jamani shunie mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vile,,, kila mziki wako shunie
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmemfahamu binamu aisee
[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye kila kitu wa mwisho kujua mnaweza mkawa mnaongea kitu wenyewe mpo busy anakuja tu kati kati anauliza kwani mnazungumzia nn mbona mm humu kila kitu wa mwisho kujua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vile,,, kila mziki wako shunie
Acha kabisa halafu sasa ajipendekeze mwanaume kutaka kunibambia yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povu atakalokutana nalo atajuta
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona vile,,, kila mziki wako shunie
Ninge acha nikuage uwe na usiku mwema ulindwe na damu ya Yesu [emoji120][emoji10] kama we ni muislam nisamehe tu kwa kulindwa na damu ya Yesu

Net inasumbua sana jamani yaan sina raha acha nilog out tu

Nimefurahi sana leo tumejumuika pamoja karibu tena na tena ujisikie upo nyumbani ujisikie kama upo jukwaa la likes nakupenda tu shunie mm
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yeye kila kitu wa mwisho kujua mnaweza mkawa mnaongea kitu wenyewe mpo busy anakuja tu kati kati anauliza kwani mnazungumzia nn mbona mm humu kila kitu wa mwisho kujua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa shunie
 
Sawa shunie,,, usijari aisee,,, Yesu kwetu ni Issa
Uwe na usiku mwema pia,,, shukrani sana kwa mapokezi mazuri na nmefurahia pia,,nmefarijika kuwa pamoja nanyi leo hakika tutakuwa wote
Nakupenda pia shunie,,, usiku mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…