...yeah, nilikuwa nawasoma sema nilikuwa nashindwa kutembeatembea maana ugenini lazima uwe makini
Binamu umeanza stts za kwenye WhatsApp jamani
...basi mimi na uzee wangu huu nikajua ni Sasa Twende Tukale Sombe kumbe ni mambo ya whatsapp, hivi hata mtu mwenye simu mpya ya hela nyingi anaweza kuwa na whatsapp? Nauliza tu
Atakuwa katekwa wodikapu...nimeipokea anko, anko wangu hajambo lakini maana simpati kwenye simu bora nikuulize wewe live
Ni status..nimerudi binamu, mmenichanganya na hivi vimini vya maneno
Ndio binamu...basi mimi na uzee wangu huu nikajua ni Sasa Twende Tukale Sombe kumbe ni mambo ya whatsapp, hivi hata mtu mwenye simu mpya ya hela nyingi anaweza kuwa na whatsapp? Nauliza tu
MhNiambie husna ake mondray
Kanunua simu mpyaBinamu jamani unanichosha tumosa ebu njo umjibu
Kanunua simu mpya
Ameshaanza tutakoma kila siku itakuwa mambo hayohayo habari za saa zimeisha
Ameshaanza tutakoma kila siku itakuwa mambo hayohayo habari za saa zimeisha
Tulimmiss lakiniHe he huyo ndio binamu
...unajua aunt kuna watu wana wivu balaa, ile saa ilibidi niende nikazindikwe kwa mganga, ningeweza kupotezwa hvi hivi sababu ya saa. Sasa kwa hii simu itabidi niombe ulinzi maalumu, unamjua yeyote mwenye majini?
Tulimmiss lakini
...sentensi inajichanganya, kama hujaingia kitambo humu utawaonaje. Au sijakuelewa, maana wikend kwangu huwa haidanganyi