Bora uwe mkweli tu, mtume(s.a.w) ametufundisha tuseme ukweli japokuwa inauma.
...kuna jipya? Yaani ukiondoa haya ambayo nimeyasoma humu! Kama hakuna basi tuendelee na utaratibu wa kawaida
...marhaba aunt, habari za wikend
Safi binamu za wewe uko
Yaan leo niliingia humu mchana nitakuwekea kesho binamu yangu..nashukuru za huku ni njema sana, asante kwa kuuliza. Siku ndo inajiishiliza hivyo, naona magazeti ulichelewa leo
[emoji23][emoji23][emoji23]haina nomaHahhaha hilo pepo unalo wewe inabidi ulikemee
Yaan leo niliingia humu mchana nitakuwekea kesho binamu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]haina noma
Shemela umeshinda Tatu mzuka nini?[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Muziki: Changamka, Usichanganyikiwe
...wiki la kwanza la mwezi wa sita ndo tunalianza, eeh, kama ulikuwa umesahau basi nakukumbusha na baada ya kumbusho hili nakusalimia Kapuku mwenzangu na kukutakia mafanikio katika mwezi huu. Mwezi wa kipekee kabisa kwa kina sie tunaolipa kodi mara mbili kwa mwaka, yaani tangu wiki imeanza nimeshangaa sana mwenye nyumba kuniandikia meseji ya kunisalimia. Akilini nikajiongeza tu sijamjibu maana nikijibu tu atanikumbusha kitu ambacho nakikumbuka sana. Mimi sio kama anko wangu ambaye yeye huwa inabidi mwenye nyumba aje na polisi jamii kuchukua kodi.
Muziki sasa, ninajiamnisha ulikuwa na wikend nzuri, kwangu ilikuwa nzuri sana asante kwa kutouliza. Changamka usichanganyikiwe mwezi wa sita huu, mwaka ushagawiwa kwa mwili, sasa ni zamu yako.
Salama shikamoo mkuuhabari gani hapa ndani