Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Rudi nyuma MODERATOR(Bridger) KESHAJIBU LALAMIKO LETU HAPAHAPANdo manake. Sema mods wawe fair na sisi
Kwahiyo aheshimiwe na tunaendelea kuzungumza ishu zingine
Post # 231
Rudi nyuma MODERATOR(Bridger) KESHAJIBU LALAMIKO LETU HAPAHAPANdo manake. Sema mods wawe fair na sisi
Lazima tuwakarishe chini.Makapuku waheshimiwe na wapewe hadhi ka member wengine
Nimeona hiyo. Nashukuru sana kwahilo.Rudi nyuma MODERATOR(Bridger) KESHAJIBU LALAMIKO LETU HAPAHAPA
Kwahiyo aheshimiwe na tunaendelea kuzungumza ishu zingine
Ila tutafika tuMdogo mdogo tu
Bado watu watakuja wengi sana ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa wakinyanyasika na tabia za wakongwe wanazozifanya.Ngoja nimuadd huyo
Mkuu ulipitiwa nini!?
Kwa kweli Leo nimefurahi sanaIla tutafika tu
Kazi nzuri sana waziri mkuu, tunajivunia uwepo wakoNimeshakuongeza kwenye list nenda kacheck
Nipo kwa ajili yao, waje tu nitawaongezaBado watu watakuja wengi sana ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa wakinyanyasika na tabia za wakongwe wanazozifanya.
Kwa namna moja au nyingine naona kabisa na mie huu uzi unanihusu
Thoomas promoter wa simu kaingiaje, asije kitorondo, promota wa simu kaingiaje akanikate na uhondo.Mshikamano daimaWatatuelewa tu sisi kwa kufuata sheria za jf tunaoongoza lakini wale wakongwe ni shiida mods mlitazame hilo


Nimeadd memba wengine kacheck listKazi nzuri sana waziri mkuu, tunajivunia uwepo wako
Karibu sanaAisee huu uzi sijui kwanini umenipita