WeeeeeeYaani mimi nikitolewa nje unaona rahaaaaa......... Yaani mjukuu wangu akinikataa mazima nalala bavu na wewe..
.Shunie usinikatae basi na wewe
Shikamoo mpendwa wa SakayoAsubuhi njema kwa members wote wa makapuku forum
Shikamoo mgonjwa unaendeleajeWeeeeee
Ishia hapo hapo!! Mie sio wa bench ati ukikataliwa ukuje kwangu!! Pambana na huba lako
Mpendwa wanguuAsubuhi njema kwa members wote wa makapuku forum
Leo nimepona niko kibaruaniShikamoo mgonjwa unaendeleaje
Vp maendeleo ya afya SakayoWeeeeee
Ishia hapo hapo!! Mie sio wa bench ati ukikataliwa ukuje kwangu!! Pambana na huba lako
Nineamka salama mpendwa ,uhali gani ww?Mpendwa wanguu
Umeamkaje wewe
Leo niko poa my dear!!Vp maendeleo ya afya Sakayo
Sijambo Mimi mpendwaNineamka salama mpendwa ,uhali gani ww?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Leo niko poa my dear!!
Kidogo nimejisogeza kibaruani
Mungu ni mwaminifu kwa kweliOyooooooo
Asante Mungu
Amen AmenMungu ni mwaminifu kwa kweli
Nafurahi kuskia hujambo mpendwaSijambo Mimi mpendwa
Be blessedAmen Amen
Nimefurahi saaana kukuonaNafurahi kuskia hujambo mpendwa
Hongera maeLeo nimepona niko kibaruani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuuu[emoji23] [emoji23]
marhabaa