Salama hbr ya cku mshikaji wa ShunieHabari yako
Asante binamy barikiwaMuziki: Hakuna Ubaya Kurudia
..niweke angalizo kabla sijakusalimia wewe Kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Yapo ya kurudia kama shule lakini usifanya kurudia makosa. Ndiyo, usirudie makosa ambayo yalikufanya ukalia na kuumia moyo na mwili. usirudie makosa yaliyokufanya ukafumba macho na kuuma meno, usirudie makosa ambayo yalikufanya ukashindwa kula au ukaamua kula na kunywa kupita kiasi. Makosa ni kosa iwe ni yenye raha au karaha. Usiyarudie na ndo maana nimeweka angalizo na sasa ninakusalimia.
Unaruhusiwa kurudia mazuri, kurudia ili usikosee tena, kurudia ili kujisahihisha huku ndo sawa.
Muziki sasa, nami naudia muziki huu kwa sababu ni mzuri na ninavutiwa nao.
Safi Tu, za siku nyingiSalama hbr ya cku mshikaji wa Shunie
Salama ulipotelea wapSafi Tu, za siku nyingi
Humu humu duniani, kuhangaika na maishaSalama ulipotelea wap
Asante binamy barikiwa
Ooooh pole na karibu tenaHumu humu duniani, kuhangaika na maisha
Asante SanaOoooh pole na karibu tena
Asante Sana
Ooooh pole na karibu tena
Shikamooni jamani..amen binamu.
Muziki: Hakuna Ubaya Kurudia
..niweke angalizo kabla sijakusalimia wewe Kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Yapo ya kurudia kama shule lakini usifanya kurudia makosa. Ndiyo, usirudie makosa ambayo yalikufanya ukalia na kuumia moyo na mwili. usirudie makosa yaliyokufanya ukafumba macho na kuuma meno, usirudie makosa ambayo yalikufanya ukashindwa kula au ukaamua kula na kunywa kupita kiasi. Makosa ni kosa iwe ni yenye raha au karaha. Usiyarudie na ndo maana nimeweka angalizo na sasa ninakusalimia.
Unaruhusiwa kurudia mazuri, kurudia ili usikosee tena, kurudia ili kujisahihisha huku ndo sawa.
Muziki sasa, nami naudia muziki huu kwa sababu ni mzuri na ninavutiwa nao.
Safi mshikaji wangu, naona unalisongesha gurudumu
Nyumbani ni nyumbani mshikaji wangu,Kama kawaida mshkaji wangu naona umetutembelea kijiweni
Nyumbani ni nyumbani mshikaji wangu,
Blesshope yupo kweli?Kweli kabisa mshkaji wangu nyumbani ni nyumbani
Blesshope yupo kweli?
SalamaSakayo anaendeleaje
Salama
Shkamoo
Msalimie Sana, mapambano ya maisha ndio maana watu wanakuwa adimu,Amekuwa adimu jf lakini huwa nawasiliana nae sana