Asante binamuMuziki: Ramadhani Juma la Kati
Ninakusalimia wewe ndugu yangu unayelifanya jukwaa hili kuwa la kipekee kabisa, najua majukumu yanakutinga na unakuja humu kwa machale, hakuna ubaya, uzuri ni kuwa uwepo wako humu unafanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Asante SHIMBA YA BUYENZE , Tumosa , Shunie , husna muba , Madame S , Bitoz , shululu , Lyon Lee , mbalizi1 , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu , sweetlee , ABJ , moneytalk , demi , O'Brian , omarion5 , Da'Vinci , BlessedHope , Sakayo , Transcend , dumejeuri , Mkushi wa kusi , Tetramelyz , EMMYGUY , Valentina na wewe ambaye unanisoma muda huu.
Muziki sasa, nikutakie wiki njema na yenye tabasamu kila unapotoka na kurudi
Una bahati sana umenitaja! Nilikuwa nisuse kukuja hukuMuziki: Ramadhani Juma la Kati
Ninakusalimia wewe ndugu yangu unayelifanya jukwaa hili kuwa la kipekee kabisa, najua majukumu yanakutinga na unakuja humu kwa machale, hakuna ubaya, uzuri ni kuwa uwepo wako humu unafanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Asante SHIMBA YA BUYENZE , Tumosa , Shunie , husna muba , Madame S , Bitoz , shululu , Lyon Lee , mbalizi1 , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu , sweetlee , ABJ , moneytalk , demi , O'Brian , omarion5 , Da'Vinci , BlessedHope , Sakayo , Transcend , dumejeuri , Mkushi wa kusi , Tetramelyz , EMMYGUY , Valentina na wewe ambaye unanisoma muda huu.
Muziki sasa, nikutakie wiki njema na yenye tabasamu kila unapotoka na kurudi
Anakijua mwenyewe binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie za usiku..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatimaye umerudisha avatar ya watuUna bahati sana umenitaja! Nilikuwa nisuse kukuja huku
Nimekua Natumia Jf kama Guest/robot toka 2013 Nilikua nachungulia tu natoka kama kuna kitu natafuta naingia jf kutafuta. Hadi 2018 baada ya kuona sina vitu vinavyoniziwa kutumia Social networks ndo nikaingia jf lasmi. ila nilikua nawasama tu akina malaria sugu,watu8,ritz,ngabu,YoyoSafi Brian za wewe kuna sehemu nilikukuta jukwaa la malalamiko kumbe we ni wa zamani jamani I'd yako ya zamani ilikuwa inaitwaje nilikukuta unamzungumzia malaria sugu
Ooh sawa Brian nimefurahi kusikia hivyo jamani basi nikajua uko na I'd ya kongweNimekua Natumia Jf kama Guest/robot toka 2013 Nilikua nachungulia tu natoka kama kuna kitu natafuta naingia jf kutafuta. Hadi 2018 baada ya kuona sina vitu vinavyoniziwa kutumia Social networks ndo nikaingia jf lasmi. ila nilikua nawasama tu akina malaria sugu,watu8,ritz,ngabu,Yoyo
WoyoooooooooooHabari wadau
Long time Sana, mpaka najihisi mgeni ujueWoyooooooooooo
Rafiki kuna chura humu?[emoji125][emoji125][emoji125]Woyooooooooooo
Mzee wa churaRafiki kuna chura humu?[emoji125][emoji125][emoji125]
Long time Sana, mpaka najihisi mgeni ujue
Rafiki kuna chura humu?[emoji125][emoji125][emoji125]
Nikupe tender?[emoji53][emoji53][emoji53]Wapo rafiki wamejaa tele
Sio unajihisi yaan umekuwa mgeni jamani msitufanyie hivyo wote mmekimbia
Nikupe tender?[emoji53][emoji53][emoji53]
Sio hivyo mshikaji wangu, Ila nafurahi Kwa mwaliko huu
Tender ya kunionyesha wawili watatu wenye chura ili mimi nijichagulie hapo mmoja kwa rahaa zangu!Tenda ya nini rafiki kuna tumosa ana chura mpaka anashindwa kutembea
Asante mshikaji wangu, naona Mzee wa chura, anakodoa tuKaribu tena jamani mshkaji wangu