Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Nafahsmu hilo mkuuKuna namna ya kulog in now..
Lazima ulogin kwa browser kwanza then ndio ulog in kwa App.
For the first time ukilog in kwa browser kuna mahali lazima uweke [emoji818] kuwa unakubaliana na sheria za Jf ndio ulog in ...then uje kwenye app ulogin tena.
Cc Sakayo
We apoNani amekuita eti
Hahaahhahahaha basi nitamuita MessHahaaaa...baada ya miaka 5 mtoto atakuwa na majina 10 sasa [emoji23][emoji23].
Manake sasa hivi kila msimu arsenal mtafukuza kocha[emoji23]
Tuko poa uko mzimaMko poazi makapukuziiiii
ShikamooSala, sala, sala.. Muda wa ibada huu ndugu zangu..
Salama shemela ,nashukuruMarhaba shemela, vipi hali..
Karibu tufuturu.
Kwanini mkuu?Nafahsmu hilo mkuu
BTW mimi situmii App na sitothubutu kutumia app
Haya mama messiHahaahhahahaha basi nitamuita Mess
Naomba majina ya waliohunduria swala waje wafuturu mkuu.Sala, sala, sala.. Muda wa ibada huu ndugu zangu..
Wacha tufuturu nao tu wajue dini ina upendo, tukiwanyima watatuona wachoyo kindaki ndaki mkuuNaomba majina ya waliohunduria swala waje wafuturu mkuu.
Ni salama tu shemeji, kuna jipya!?Salama shemela ,nashukuru
Bhr ya kuadimika
Hapa hakuna jipya shemelaNi salama tu shemeji, kuna jipya!?
Hahahaa...sawa ustadh makaWacha tufuturu nao tu wajue dini ina upendo, tukiwanyima watatuona wachoyo kindaki ndaki mkuu
Hahaa!! Sawa mufti..Hahahaa...sawa ustadh maka