Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Hebu acha utoto basiSijaiona
Hebu acha utoto basiSijaiona
MmmhI have got to buy new glasses then
SijamboMarhabaa dadaake Shunie
HahahahaJamani pole mnoo sasa ujitahidi ukitoka job simu ijae charge
Babu mchoyo
Kweli kabisaaaHahhahah dada acha mambo zako bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yamekuwa hayo tenaa
Sio mambo zako za jana zile simu inazima halafu kwanza si ulikuwaga na power bankHahahaha
Kweli kabisaaa
MhBabu mchoyo
We furahi tuu aki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa haina charge akiSio mambo zako za jana zile simu inazima halafu kwanza si ulikuwaga na power bank
Yaan wewe bwana hueleweki tunapanga vizuri wenyewe halafu unageukaWe furahi tuu aki
Ndio uicharge na hiyoIlikuwa haina charge aki
Sasa namba nilimpaaYaan wewe bwana hueleweki tunapanga vizuri wenyewe halafu unageuka
Sawa dadaNdio uicharge na hiyo
Shindwa peponipo shem
tumosa alininywesha dawa ya usingizi yani ndo nashtuka saiv
Mkwendreeee na shemela wakoWoyoooooo
Alikunyweshaje shem jamani mpaka unashtuka sasa hivi
Duu ushanikosa,ukipita mbele yangu sitakohoa so shambulio la aibu halinihusu...nundu ugonjwa wangu kabisa...Mkuu usinijaze sina nundu mie usitake watu wanikimbie
Acha kunicngizia mm na party wap na waphata selewi sjui ni ile glass ya mwisho ya juic alo niletea mara ya mwisho kwenye party