mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,955
- 43,393
HahhaaaaaaaaWooooooozeeeeer
HahhaaaaaaaaWooooooozeeeeer
itakua tulipitiwa wote but yeye katoroka asubuhi,Kwahiyo shem ulijikuta umepitiwa pekea ako au mlipitiwa wote na tumosa
Nyie mnajishtukia tuSababu upo kiwasiwasi
Sawa bana.... Wacha nikubali tu hata kama siamini.Mm babu si nimekwambia sina simu au huamini
Wewe ndo ulisema... Labda utupe maelezo vizuri tueleweMashavu manene ndio nn tena
Ha ha ha ha ha ha ha.... Hii mpya yaniYaan niko na no lakini sina simu
Kwahiyo hao watu wake we huna wasiwasi nao kabisaYule si unajua ni mpendwa ,kwahiyo anaweza kuwa anashusha upako huko si wajua kama mtumishi vile![]()
![]()
Yapi hayo nilisema wapi kwaniC yale Mashavu uliosema au![]()
Hatujishtukii jamaniNyie mnajishtukia tu
Amini tu jamani huwa natumia simu ya dogoSawa bana.... Wacha nikubali tu hata kama siamini.
Nimeshasahau jamaniWewe ndo ulisema... Labda utupe maelezo vizuri tuelewe
Kweli babu jamani niamini tuHa ha ha ha ha ha ha.... Hii mpya yani
Kwenye ule uzi wa moneytalk jamaniYapi hayo nilisema wapi kwani
Mwambie Sakayo akukumbusheNimeshasahau jamani
Sawa.... Mtaka cha uvunguni........!?Kweli babu jamani niamini tu
Ninii tena shem😀😀😀😀