Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nshampa nambaBabu acha mautani ujue sio no inatumwa unabaki kusumbua tu mahela hutumi
Asubuhi ntakupa mrejesho
Nshampa nambaBabu acha mautani ujue sio no inatumwa unabaki kusumbua tu mahela hutumi
WoooiSi aliona hujaona notification mpaka nimemguote akanionyesha viemoj vya ububu
MhNshampa namba
Asubuhi ntakupa mrejesho
Akwende hukoHuyu babu ameamua kuguvuruga tu
HahahahaMh
Sema kweli dada
YaaniSijui anatuonaje babu jamani
Pole jamani leo zamu yako kwetu wamerudisha babe![]()
![]()
![]()
simu inaziima no umeme
Kuwa serious na we umetuma haujatumaAkwende huko
Namba nshamtumiaa
Kwa nn mkufwe jamani.... Halafu mkikufwa huo utamu ntaupataje!!!!?Babu sema kweli unataka tukufwe au
Tatizo lenu mnamuangalia babu kiwasiwasiBabu acha mautani ujue sio no inatumwa unabaki kusumbua tu mahela hutumi

I am 200% seriousBabu kuwa serious
Kama na wewe unataka za kwako nitatuma na agent fee nono.... Maana naona hutaki kutuma nambaAaahhh
Ujue ni serious aki
Sasa mnanionea.... Namba hamtumi halafu mnanilaumu..... Tuma ya kwako basiHuyu babu ameamua kuguvuruga tu
Nawaona warembo wawili .....halafu Shunie ulisema kule kwenye ule uzi... Sijui Mashavu maneneSijui anatuonaje babu jamani



Umetuma namba ya fax au mobile?Nshampa namba
Asubuhi ntakupa mrejesho
Sasa unaenda wapi!!? Njoo utoe namba bana!!!
Anakuzingua... Wewe tuma ya kwako tu!Mh
Sema kweli dada