Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka huyo
 
duuuhhh.. daaahh yule mke wangu kipenzi hawezi kuwa na ubongo wa mende "" mpaka akubali kupachikwa mimba " kukimbiwa na kuitwa " single mother...yule mke wangu ni " gifted bhanaa...akili zimefika kwao pale "" hawezi kuwa zwazwa wakiwango hicho...so namba unayoipiga kwa sasa haipatikani..labda upande juu ya mnara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…