Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
DuuuhHahhaha nani anataka shikamoo mjini
DuuuhHahhaha nani anataka shikamoo mjini
Npo hapa kuhakikisha hakiharibiki kituBora hata sisy ake upoo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante dadake
Nashukuru
Hahahahh nawee itafika zamu yako yakupewa shikamoo double double[emoji3] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
JamaaaaniHawezi kukugawia wanamtosha mwenyewe tu
Aaa sanaaWanapenda sana hizo mambo
HahahahahahAmenishangaza sana
Atajijua mbele kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwache aparamie tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amenishangaza sana
Hapo sasa kuzeeshana mapema mapema [emoji53]Hahhaha nani anataka shikamoo mjini
Ndagha fijo kalumbuUmbili gwosa gukumbabha
Tuko pouwahabari gani hapa ndani??
Huwa napenda utu na sio sura ujue[emoji7]Mmmh utanivumilia baba [emoji23][emoji23]
Ndio hivyo jamani mjini kila mtu ni bebe shikamoo vijijini hukoDuuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atajijua mbele kwa mbele
Safi za wewe jamani hatimaye umepita nyumbanihabari gani hapa ndani??
Sawa wa mjiniNdio hivyo jamani mjini kila mtu ni bebe shikamoo vijijini huko
EnaaNdagha fijo kalumbu
Nipeni mi mhenga nitazipokea tuHahahahh nawee itafika zamu yako yakupewa shikamoo double double