Makapuku Forum

[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji108] [emoji108]
 
Emancipate yourself from mental slavery, non but ourselves can free our minds.
 
Hapa kamkosa fally ipupa tu nadhani ingekuwa inogile zaidi.
 
Kwa kifupi waambie wewe ndio steringi wa maisha yako, hakuna mwingine, nawe pia ndio adui wa maisha yako pia.. Ukiamua kufanya utafanya, ukiamua kukaa tegemea kuganda hapo hapo na kugeuka jiwe la chumvi. Maisha ni hatua pasina kunyanyua mguu huwezi kusogea.
 
Eeeh!

Rasta farai.


Gwanni man ganta peace
 
Jamaa mmoja wa C.I.A alikir kumuua huyu mzee wetu [emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tumecheza michezo ya utotoni pamoja na Lee, bitoz, jimena, sweetipie, mukongo, shululu nk
Sawa sipingi hilo, ila ww nani katika jina la utoto, maana naona mwenzangu unatumia jina la ubatizo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…