shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Itakuja kulipiwa huku shemela, karibu sanaNitumie hela ya Uber shemela nikuje mpaka huko
Itakuja kulipiwa huku shemela, karibu sanaNitumie hela ya Uber shemela nikuje mpaka huko
Khaaaa shemela kwahiyo unahisi nitaikula hiyo helaItakuja kulipiwa huku shemela, karibu sana
Mama JJ, ngoja tumsubiri shemela shunie, yupo kwenye ubber
Nakusalimia jamaniMama JJ, ngoja tumsubiri shemela shunie, yupo kwenye ubber
MhMama JJ, ngoja tumsubiri shemela shunie, yupo kwenye ubber
Mzee wa kunyofoa ni nani tena huyo!?Mzee wa kunyofoa kwa nini unaninyapia!!
Nani alikuficha lakini
Ndo mambo ya mababu hayo mjukuu wangu..... Haya uinuke zeze?Yaan anakuja kwa kubeep jamani babu angu
Niinuka vyedi babu angizeiwe ni mbwahi hivi babu wa hiza kwa kubeepNdo mambo ya mababu hayo mjukuu wangu..... Haya uinuke zeze?
Naona sasa umehamia kwangu,me sitaki huo uchuro jaman,mie bado kwanza mwali
Babu yao hawamuoni..... Niamkie mimi mjukuu wangu..... Habai za siku mbii tat'huweka picha kwahiyo unamaanisha dada sakayo ni bi tukinao nasubiria majibu yako siku ushushe thread yako usituangushe ndugu zako
Ntana babu shikamooBabu yao hawamuoni..... Niamkie mimi mjukuu wangu..... Habai za siku mbii tat'hu
Wewe mjukuu mwee.... Nitakuchapa bakora.... Endelea na Utundu... Kizee kama mimi niandamane...... Wakinilazimisha kupimwa tezi dume na umri huu!!!!!!!??Alitekwa au alikuwa bado anaandamana moja kati ya hayo
Unaona eeh!Hahaha
Kuandamana asingerudii
Nimekuja mjukuu wangu.... Yaani ukiniita tu Nakuja..... Niaha!!!!babu akuje tu ajibu maswali
Wewe naye pia mkorofi Kumbe eeh?Huyo alitekwa
Shunie Unacheka mjukuu wangu... Unatakiwa uwahoji wakueleze aliemteka babu yako kama maneno yao ni kweli
Ambuu nkiiza sikuene mjukuu wangu.... Huhaho online.... Ntabeep ntaita nyumbaiNiinuka vyedi babu angizeiwe ni mbwahi hivi babu wa hiza kwa kubeep
Maahaba mjukuu wangu.... Umgima?Ntana babu shikamoo